Wapenzi wa muvi; Je, Iko Uwais ndio mrithi wa Tonny Ja, Donie Yen, Jet le na wengineo (picha & Video)

Kuna baharia flani kwnye IP MAN 3 pale mwisho na Don yen, pia yupo kwenye SPL 2 ana Act kama katili yule mdau nafkiri ni zaidi ya wote kwa saiv haswa ASIA
 
Binafsi nimemuona kwenye Raid 2, ni mpiganaji mzuri sana ....
Yote tisa kwa sasa Mimi naona Donnie Yen bado yuko kwenye kilele cha peke yake kuliko hata hao wote uliowataja...ushahidi wa haya tafuta movies zifauatazo
1. Legend of the fist (paroos) , humo anapiga mkono na kulia kama Bluce Lee
2. The Iceman 2014, hii ni fair fight
3. Ip Man 2
4. Ip Man 3
5. Kung Fu Jungle
Donnie Yen , aisee namkubali sana huyu jamaa
kutaja list ya movies zote hizo za Donnie bila kuiweka The Dragon Tiger Gate haujaitendea haki list yako
 
MAJIYAPWANIpost: 28723629 said:
JAMANI MMESAHAU NA BONGO JE? MBONA HAKUNA ACTION ACTORS WAKALI SIKU HIZI
kuna majamaa fulan hv sijawakariri vizuri nilicheki clip zao,wanapiga kama mbele vile action za kina Donnie yen
 
yes raid two ndo niliipenda sana,imeishia sehemu hatari pia sijui ilikuwaje
STORY MUHIMU SANA WENZETU WANAZINGATIA SANA STORY SIO KM SISI.... ILA WA MALAYSIA NA INDONESIA NA THAILAND SASA HVI WANAKUJA NA MOTO SANA ASIA MIAKA YA HV YA KARIBUNI
 
Back
Top Bottom