Wapenzi wa JUKE BOX tukutane hapa

Mkuu mimi sio mhenga ila hizi ngoma ninazikubali sana na nilikuwa mpenzi wa kipindi cha Radio One kinaitwa Mtaa wa Mangoma na mtangazaji alikuwa jamaa fulani anaitwa Moses Justine a.k.a Papaa Mo, nadhani ni marehemu kwasasa..

Muasisi alikuwa DJ- Jay dee!!!
Mtaalamu wa mtaa wa mangoma siku za jmoc na alhamic love story kuanzia saa nne usiku!! Ebwanaee kitambo sana miaka ya 1998!!!!
 
Wahenga wenzangu, mmejuaje kuanzisha hii kitu? Nilikipenda sana kile kipindi cha "JUKE BOX" kikiendeshwa na bwana mdogo Kitenge, alipoenda tu tbc ndo ukawa mwisho wake, binafsi ni mpenzi sana wa mangoma ya old time, dah! Ngoja ntulie nitarudi na "madebe" ya zamani
 
Tutajie kibao kimoja mkuu, au mwimbaji apa tukhmbushane.
Mimi napenda zikiwa katika miondoko ya house, au pop yaani ukisikiliza zina mzuka hatari.
Barbie girl-aqua
doctor jones-aqua
my oh my-aqua
Dj sammy- Heaven
Better off alone- alice deejay
Something-lasgo
Uncle john from jamaica- vengaboys
Up & down- vengaboys
Sandstone-darude
............. n.k, Playlist ni kubwa
 
ngoja nikusaidie kidogo chief
noel silent moring
ive thinking abt u london beat
ilusiom imagnation

yan chief nnazo nying hzo nyimbo n hatar
We jamaa, sijui ntazpataje au unitumie kwe telegram, mim huwa nazjua baadh ila majina ya singers
 
Weweeeeeeeeeeeee

Lambada tena,


Mamam@aaaaa kale kangoma babake!!
 
The great memories,

Baba natafuta mda nizishushe efyuuu,,
 
Umemsahau LL Cool J pamoja na Mc mwenzake aliyekuwa akiitwa Mc Hammer 'Hammer time'
 
Aloo cool n the ganga


Hivi ndo wale


Ceeee3eelebraity goood time common!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…