Tutajie kibao kimoja mkuu, au mwimbaji apa tukhmbushane.Mkuu mimi sio mhenga ila hizi ngoma ninazikubali sana na nilikuwa mpenzi wa kipindi cha Radio One kinaitwa Mtaa wa Mangoma na mtangazaji alikuwa jamaa fulani anaitwa Moses Justine a.k.a Papaa Mo, nadhani ni marehemu kwasasa..
Mkuu baadhi ya ngoma ninazozijua ni hizi hapaTutajie kibao kimoja mkuu, au mwimbaji apa tukhmbushane.
hiki kipindi kilikuwa bomba sana...kila jmos!Mkuu mimi sio mhenga ila hizi ngoma ninazikubali sana na nilikuwa mpenzi wa kipindi cha Radio One kinaitwa Mtaa wa Mangoma na mtangazaji alikuwa jamaa fulani anaitwa Moses Justine a.k.a Papaa Mo, nadhani ni marehemu kwasasa..
Always - James InglamTutajie kibao kimoja mkuu, au mwimbaji apa tukhmbushane.
Absolute everybody - Vanessa amarose *kama sikoseii*Mkuu baadhi ya ngoma ninazozijua ni hizi hapa
Holiday _ Madona
Everybody everybody_ sijui kaimba nani
Thinking about you
n.k
Wewe miller uko vizuri sana,Always - James Inglam
Cassanova - Levvert
Cool it now - New edition
Point off no return -
Roses are red -
Who is that girl - madonna
Get down on it - Cool n the gang
Illusion -
...ngoja niendelee kukumbuka chief,
Old school ndo nyimbo zangu chief.Wewe miller uko vizuri sana,
Ngoja nivisake...
everybody everybody kaimba dada mmoja anaitwa black boxMkuu baadhi ya ngoma ninazozijua ni hizi hapa
Holiday _ Madona
Everybody everybody_ sijui kaimba nani
Thinking about you
n.k
uko vzur kaka aya mangona ni mazur mbaya ata kama co muhenga