Wapenzi wa 'garden love' nyoosha kidole juu

Uliponda ndevu mama sasa umerudi kwenye garden love

MWenye udevu ka Osama kama nilivo Mimi ndo wenye garden love motoooo

Ukimkumbatia mwanamke lzm akubane ili kifua chakekipate shwabiha ya msuguo
 
Abeg Abeg Abeg

Usiniulize Garden Love ndio nini!

Kama una kifua chenye nywele una garden love

Kama Unapenda Garden love nyoosha kidole juu

Kama haupendi garden love comment "Yaaaakh!"

Kama hauna uhakika kama unapenda au haupendi usicomment

Kaka etu kwenye video anayo!


Sasa unapoelekea utaanza kuulizia wenye MANYOYA
 
Siku moja ilikuwa Kali nilifika uswahilini kwa rafiki yangu

Jamaa yangu akaondoka akaniachia getto , nilishangaa mno , maana nilienda kunya kifua wazi niliporudi nikaandaa maji kwenda kuoga .


Nilipotoka nje nikashangaa wanawake kama 3 hiv wapo pale nje huku wanawaita wenzao waliokuwa ndani . mi njaenda natoka bafuni wanawake kama 7 hivi wako nje macho yote kwangu yaani wanachekachrka tu ile nawapa mgongo mmoja karopoka mama d hiyo garden vp tuifanyie mamboz

Ndo nikagundua nini kilichokua kinaendelea


Ninyi wanawake ninyi mungu anawaona
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom