Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Hiyo ilikuwa ni Friday 13th ya zamani sana ina matoleo mengi lakini kweli kwa wakati huo ilikuwa inatisha sana maana ukatili wake ni balaa lakini siku hizi watu wanachomana na tairi live kwa hiyo nafikiri unaweza kuangalia kwa sasa bila tabu. Enjoy!
 
Filamu ya wenye uroho wa kupata mali kama dhahabu yenye title : 600 kg D'or Pur - film complet en Francais
 
World War Z movie based from novel :

It began with rumours from China about another pandemic. Then the cases started to multiply and what had looked like the stirrings of a criminal underclass, even the beginnings of a revolution, soon revealed itself to be much, much worse.

Faced with a future of mindless, man-eating horror, humanity was forced to accept the logic of world government and face events that tested our sanity and our sense of reality. Based on extensive interviews with survivors and key players in the 10-year fight-back against the horde, World War Z brings the very finest traditions of American journalism to bear on what is surely the most incredible story in the history of civilisation.
 
[h=1]Antichrist Movie: a work of genius or the sickest film in the history of cinema? based on Danish story[/h]
Antichrist opens, simultaneously, with a blaze of unsimulated sex and the death (simulated, one hopes) of a child, who topples from an upstairs window and cannons into the snow below.

Bedevilled by guilt, his unnamed parents – He (Willem Dafoe) and She (Charlotte Gainsbourg) – retreat to a cabin in the woods called Eden.

There, matters go from bad to worse. Oppressive Defoe winds up hobbled and impotent, while Gainsbourg runs clean off the rails and starts hacking at her own genitals with a pair of scissors.

Sitting in the dark of the Cannes Palais, the audience yelped and howled and covered their eyes. Legend has it that at least four viewers fainted dead away in their seats.

With its explicit sex and scene of female genital mutilation, Lars von Trier's Antichrist scandalised Cannes
 
Dark Prince: The True Story of Dracula. :

More precisely, with Transylvania (a Romanian province), which is believed to be ... The real history tells us that Vlad the Impaler (in Romanian: Vlad Tepes) ruled .... The name of the already well-known Wallachian prince became even more ... he is finally discharged in the darkness to be met and taken to Dracula's castle.
 
What dreams my come. Hii inamhusu jamaa aliyependana na mkewe ,jamaa katangulia kufa kaenda mbinguni (heaven) then mkewe akapata huzuni wa kuondokewa na mumewe naye akaamua kujiua kwa hiyo akaenda hell. Mtiti ni kwamba watakutana vipi? Inatia huruma ya kutisha.
 
House of Wax, The Texas Chainsaw massacre, Saw, Final Destination, Wrong Turn.
 
Angalia SAW series, tena ukiiangalia mida ya usiku hutamaliza ata dakika 10 lazima utafute mtu wa kulala nae.
 
the wrong turn....kwa upande wangu inatisha.

Wadada wawili waliokuwa wakisagana wakati wanafurahia kukiepuka kifo wanakutana na mtego wa waya unaotenganisha vichwa vyao na viwiliwili,kisha mla watu anaokota vichwa vyao na kwenda kujiandalia supu yake saaafi na ndimu na pilipili ya kutosha.
 
Jeepers creepers one and two, sleep walker, rag me to hell, excorcism of emil rose hii kama unaroho ndogo msiangalie.
 
Jamani mimi napenda kuangalia movie za kutisha zinazohusisha wanyama na binadamu (horror adventures) sio za kikatili za binadamu kwa binadamu.

Mwenye kuzijua naomba anitajie.

Kuna moja siijui jina ila kuna baba mmoja ana watoto wawili k na m, baada ya kuacha na mkewe akao mke mwingine sasa wakenda fungate pamoja na watoto wao kwenye mbuga ya wanyama, mtoto wa kike ambaye ndiye mkubwa alikuwa hampendi kabisa mama yake mdogo kwa kuamini kuwa ndiye aliyesababisha mama yao kuachwa. Basi wakiwa huko kwenye fungate baba yao aliwaambie waende na mama yao kuangalia wanyama basi wakiwa wao (watoto na mama yao na dereva) yule wa kiume alibanwa haja ndogo ikabidi wasimame mahali ambapo si salama,

Akashuka dereva na mtoto wa kiume(dereva alizima gari akashuka na funguo) ndani ya gari alibaki mama mdogo na mwanaye wa kike)

Wakati kijana anajisaidia mara simba, kijana alipona baada ya kukimbia lakini dereva aliraruliwa na simba na historia ya maisha yake ikaishia pale, songombingo ndipo lilipoanzia gari imezimwa funguo walipokuja kuiona kwa kutumia darubini ndipo kulipo na simba, kabla ya kufikia wokovu. Jinsi wawindaji wawili walivyoraruliwa na simba, jinsi yule baba aliyemsindikiza baba yao alivyouawa na simba na mateso waliyoyapata hata mwisho wakawa familia moja yenye upendo. so sad.

Jurasca park, the shark, Clocodile, na zifafanazo.

Jamani kuna moja mwenye kuijua naomba anitajie, maana nilikuwa mdogo ila kuna baadhi ya scne nazikumbuka kuna baba mmoja alikua anaishi nje ya mji na familia yake basi siku moja akiwa anacheza golf na kijana wake kitenis kikaenda kuangukia kwenye samba la mahindi alipoenda kukifuata akamona baba mmoja kisha yule baba akapotea, yule baba akabaki anashanga kisha akarudi na kitenis.

Siku moja akenda mjini kuhemea, mara buchani muuz nyama ni yule mtu aliyemuona kule shamba akataka kuongeza mara yule baba akamwambia so what, akapotea, yule baba akatoka akaenda kwenye nyanya akamka tena yule ghost, maskini baba wa watu akaanza kuchanganyikiwa akatoka akapanda gari arudi nyumbani akakuta anayeongoza magari ndiye yule ghost akataka kusema kitu yule ghost akamjibu so what. Kwa jinsi picha ilivyokuwa na vitimbi mwenyewe ilinitisha sikuimaliza ila leo natamani niiangalie, mwenye kujijua please.

Nyingine ya kitoto inaitwa CASPER mwenye kuijua kama ninaweza kuidownload please.
 
Jamani mimi napenda kuangalia movie za kutisha zinazohusisha wanyama na binadamu (horror adventures) sio za kikatili za binadamu kwa binadamu.

mwenye kuzijua naomba anitajie.

Kuna moja siijui jina ila kuna baba mmoja ana watoto wawili k na m, baada ya kuacha na mkewe akao mke mwingine sasa wakenda fungate pamoja na watoto wao kwenye mbuga ya wanyama, mtoto wa kike ambaye ndiye mkubwa alikuwa hampendi kabisa mama yake mdogo kwa kuamini kuwa ndiye aliyesababisha mama yao kuachwa. basi wakiwa huko kwenye fungate baba yao aliwaambie waende na mama yao kuangalia wanyama basi wakiwa wao (watoto na mama yao na dereva) yule wa kiume alibanwa haja ndogo ikabidi wasimame mahali ambapo si salama,

akashuka dereva na mtoto wa kiume(dereva alizima gari akashuka na funguo) ndani ya gari alibaki mama mdogo na mwanaye wa kike) ....

wakati kijana anajisaidia mara simba ................. kijana alipona baada ya kukimbia lakini dereva aliraruliwa na simba na historia ya maisha yake ikaishia pale, songombingo ndipo lilipoanzia gari imezimwa funguo walipokuja kuiona kwa kutumia darubini ndipo kulipo na simba..................., kabla ya kufikia wokovu .............. jinsi wawindaji wawili walivyoraruliwa na simba, .................. jinsi yule baba aliyemsindikiza baba yao alivyouawa na simba na mateso waliyoyapata hata mwisho wakawa familia moja yenye upendo. so sad...........

Jurasca park, the shark, Clocodile, na zifafanazo

Jamani kuna moja mwenye kuijua naomba anitajie, maana nilikuwa mdogo ila kuna baadhi ya scne nazikumbuka kuna baba mmoja alikua anaishi nje ya mji na familia yake basi siku moja akiwa anacheza golf na kijana wake kitenis kikaenda kuangukia kwenye samba la mahindi alipoenda kukifuata akamona baba mmoja kisha yule baba akapotea, yule baba akabaki anashanga kisha akarudi na kitenis.

siku moja akenda mjini kuhemea, mara buchani muuz nyama ni yule mtu aliyemuona kule shamba akataka kuongeza mara yule baba akamwambia so what, akapotea, yule baba akatoka akaenda kwenye nyanya akamka tena yule ghost, maskini baba wa watu akaanza kuchanganyikiwa akatoka akapanda gari arudi nyumbani akakuta anayeongoza magari ndiye yule ghost akataka kusema kitu yule ghost akamjibu so what.......... kwa jinsi picha ilivyokuwa na vitimbi mwenyewe ilinitisha sikuimaliza ila leo natamani niiangalie, mwenye kujijua please...

Nyingine ya kitoto inaitwa CASPER mwenye kuijua kama ninaweza kuidownload please.

Hiyo inaitwa PREY
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom