Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

hayahaya wale wa horrors movies.

al2.jpg al5.jpg al90.jpg
al8.jpg al1.jpg al67.jpg
Kijino picha zimejiweka "automatikale" hata mwenyewe nashangaa. Hahaha!
 
Last edited by a moderator:
hayahaya wale wa horrors movies...
View attachment 55556 View attachment 55557 View attachment 55558
View attachment 55559 View attachment 55560 View attachment 55561
Kijino picha zimejiweka "automatikale" hata mwenyewe nashangaa.... hahaha

Yani umenifanya niclale ucku, mana ile nafungua thread naona hyo pic ya kwanza, ikabidi nizime simu kabisa, mana nikiacha on nitaingia tu jf bila kupenda, ila hapa naangalia kwa raha zangu, jamani mcnitishe na hayo mapics.
 
Last edited by a moderator:
Yani umenifanya niclale ucku, mana ile nafungua thread naona hyo pic ya kwanza, ikabidi nizime cm kabisa, mana nikiacha on nitaingia tu jf bila kupenda, ila hapa naangalia kwa raha zangu, jamani mcnitishe na hayo mapics.

Hahaha, usiogope sana, Hizi picha hazifai kuangalia usiku, hasa kama unaish nyumbani peke yako na unalala alone, utajikuta unalala bila kuzima taa.
 
Good Guy hii movie yaitwaje?

Van Helsin hiyo, starring Hugh Jackman (jamaa alistar kama Wolverine kwenye X men). Ya kitambo ila ni classic, warewolfs, frankenstine, vampires Dracula nd everythng in between.
 
Last edited by a moderator:
Katika movie za kutisha ambozo nimewahi tishika ni SAW peke yake , sijui ni part 1 ile jamaa ilibidi ajikate mguu na msumeno. wale wanaeffects za ukweli . hizo wrong turn hawana effect kali sometimes inakuwa kama ya kitoto vile.
 
Nasikia kuna movie moja ya kutisha, ambayo waandaji waliahidi kutoa zawadi nono kwa mtu yeyote ambaye angeitazama hadi mwisho bila kufumba macho kwa uoga.

Hivyo kwa yeyote anayeifahamu tafadhali naomba anijulishe. Vilevile kama kuna movie yoyote amabayo kwa maoni yako unaona ni ya kutisha kiasi cha kumfanya mtazamaji kutokutaka kuendelea kuitazama tena naomba unitajie tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom