Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Si kweli mwanamke wa kiislam hana dini. Usitake mengine humu kisha mseme mambo ya udini. Kwanza sijaona ukristo unasema muoane. Hata Yesu hakuoa!Mwanangu fuata ushauri huu:
Kwa mujibu wa Ukristo baba ni kichwa cha nyumba.
Kwa mujibu wa Uislamu mwanamke hana dini kwa maana bwana akiuza bange au gongo mwanamke naye ni mdau.
Hivyo basi usibadili dini abaadan kwa shinikizo la mapenzi utachekwa na ndoa yako itakosa amani hadi kizazi chako, kesho watakwambia sharti lingine gumu zaidi.
Mueleze ukweli tupu huyo msichana kwamba hutabadili dini kwa shinikizo la wazazi wako sio nitakao ishi nao.
Kama hataki hakupendi bali anapenda wazazi wake.
Mimi ni kijana mkatoliki mwenye miaka 24 nina soma chuo mwaka wa tatu, mpenzi wangu ni muislamu anaelimu ya kidato cha nne kwa sasa anaishi na wazazi wake, mausiano yetu ni takribani miaka 2, ktk mazungumzo yetu ananitaka nibadili dini,ila mimi sijalizungumzia hilo kwasababu wazazi wetu wote hatujawafahamisha ila tuna mpango.kubadili dini siwezi na mpenzi wangu siwezi kumuacha,nina pata utata sana, hata sijui nifanyeje ndg zangu?
Mimi ni kijana mkatoliki mwenye miaka 24 nina soma chuo mwaka wa tatu,mpenzi wangu ni muislamu anaelimu ya kidato cha nne kwa sasa anaishi na wazazi wake, mausiano yetu ni takribani miaka 2, ktk mazungumzo yetu ananitaka nibadili dini,ila mimi sijalizungumzia hilo kwasababu wazazi wetu wote hatujawafahamisha ila tuna mpango.kubadili dini siwezi na mpenzi wangu siwezi kumuacha,nina pata utata sana, hata sijui nifanyeje ndg zangu?
Si kweli mwanamke wa kiislam hana dini. Usitake mengine humu kisha mseme mambo ya udini. Kwanza sijaona ukristo unasema muoane. Hata Yesu hakuoa!
Mapadre hawaoi. Sijui mnaoana kumfuata nani?

NDUGU YANGU NILIKUWA NA TATIZO KAMA LAKO NANIMEDUMU KWA MIAKA MINNE HATIMAYE NIMEAMUA KUTAFUTA INFINITE SOLUTION .WAKATI UNA ANZA MAHUSIANO HILO TATIZO UNAWEZA USILIONE ILA SASA UMRI UNAPOANZA KWNEDA NA MNAPOANZA KUFIKIRIA SUALA LA NDOA NDO UTATA UNAPOANZA KILA MTU ANAVUTIA KWAKE .Mimi ni kijana mkatoliki mwenye miaka 24 nina soma chuo mwaka wa tatu,mpenzi wangu ni muislamu anaelimu ya kidato cha nne kwa sasa anaishi na wazazi wake, mausiano yetu ni takribani miaka 2, ktk mazungumzo yetu ananitaka nibadili dini,ila mimi sijalizungumzia hilo kwasababu wazazi wetu wote hatujawafahamisha ila tuna mpango.kubadili dini siwezi na mpenzi wangu siwezi kumuacha,nina pata utata sana, hata sijui nifanyeje ndg zangu?
Huyu mleta sredi ni asherati flani na liacheni lioe mwasherati mwenzake.
hapo unatafuta mtu wa kuwapa wazazi wako wajukuu alafu unaignore ishu ya dini? Kuna wakati mambo huwa magumu na ni dini tu inayoweza kukupa faraja not Madaktari au Specialists yeyote.
Kaka jiondokee Mke mwema hutoka kwa Mola na Mola hukupa wa kufanana naye.
mwanamke hana dini...................., ni mfuasi wa mwanaume utakapoenda nae atakufuata tu
ndoa za mchanganyiko mara nyingi hazina amani zinavuruga watoto wakiwa wadogo na kukosa maadili ya dini moja mwishowe wanaishia kutokuwa na hofu ya Mungu