Eng Kahigwa
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 783
- 625
Ndohivyo labda auzuie huo uchochezi wa uharibifu wa hekalu la Mungu(Mwili)..Mbona hukumu?
Mjumbe hauwawi.
Ndohivyo labda auzuie huo uchochezi wa uharibifu wa hekalu la Mungu(Mwili)..Mbona hukumu?
Hivi mfanyakazi wa kiwanda cha sigara anaenda mbinguni au haendi?Wanahalilisha uharibifu wa hekalu la Mungu
Huyo haendi kabisa mbinguni.Hivi mfanyakazi wa kiwanda cha sigara anaenda mbinguni au haendi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivyo basi tuendelee kuomba neema za Mungu tu ili tushinde mitihani hiiHuyo haendi kabisa mbinguni.
Ndo maana yakeKama ni hivyo basi tuendelee kuomba neema za Mungu tu ili tushinde mitihani hii
Sent using Jamii Forums mobile app