Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Hujui vizuri kiwango cha barca weweNamuona huyo jamaa kama Ostaz kama ndiyo kachemsha sana avue tena Barca hakuna lolote
Hujui vizuri kiwango cha barca wewe
Hata hivo inawezekana huyo ni mnigeria siunajua wanavaa kanzu sio kwamba ni dini fulanTatizo sio kiwango bali yale ma-misalaba yaliyopo kwenye nembo ya jezi yao. Huoni kama haijakaa sawa kwa ustadhi?
Hakuna kama barca jamani.kama hamuamini fuatilieni barca imetoa wachezaji bora wa dunia wangapi
Hakuna timu ambayo haifungwi hata hao madrid wanafungwaga tuJuzi wamepigwa tatu na Real Madrid, au unaongelea Barca nyingine?
Ooooh weeeee Hilo vazi lina EBOLA.:israel:Dah, hili vazi lauzwa wapi nami nikajitwalie langu, barca daima
Hakuna timu ambayo haifungwi hata hao madrid wanafungwaga tu