Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,222
- 1,426
Habari wakuu.
Nimeanzisha uzi huu mahususi kwa wale wapenzi na washiriki wa marathons mbalimbali, kupeana ushauri, na uzoefu wa ushiriki. Kwa mfano next week kuna Kilimanjaro marathon, tarehe 28.02.2016 itakayofanyika Mkoa wa Kilimanjaro, Please tupeane ushauri, kwa wale washiriki - namna bora zaidi ya kujiandaa, na tips mbali mbali za namna ya kuperform siku ya mbio hizo.
Ikumbukwe kwamba kuna category kuu 4 za kilimanjaro marathon, nazo ni 42.2 kms full marathon run, 21.1 kms half marathon run, 5 kms fun run na 10 kms - dis-abled race.
Ninaanza na mimi mwenyewe, kwamba nimetarget kushiriki 21.1kms half marathon run, na mpaka sasa nimeweza kukimbia consecutively non-stop 17 kms, for 1 hour and 55 mins. Je nitaiweza 21.1 kms?
karibuni wadau.