Mapenzi hunogeshwa na vitu vidogo vidogo mno busu kulishana kupeana pole nk wengi wetu huvidharau vitu hivi lakini vina nguvu kubwa mno kwenye kujenga mahusiano imara kuogeshana ni jambo muhimu mno lina ladha na uhondo wake, si lazima mwogeshane kila siku japo mara moja moja tu inatosha hebu jiulize mara ya mwisho kuingia na mwenza wako bafuni mkaogeshana ilikuwa lini? mlijisikiaje?
Mkuu, hii kitu ya kuogeshana iko applicable hata ukiwa kwa wakwe?
Unaishi ukweni? Wewe mzungu?
Unaishi ukweni? Wewe mzungu?