Wapenzi kununiana.

Wapenzi kununiana.

Kuna wanawake too much, kuna wanaume pia ni mazombi too much......
 
*umejiba?????

Ndio kitu gani hicho!!!!
Mbona watu mnakua washamba hivi mazee.... Aaah this is BULL SHIIT.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Kukosea spelling while your writing siyo ushamba, it happens to any human being, acha kukariri na kujitia ujuaji bwege we!!

Sent from my HTC Desire 816 dual sim using JamiiForums mobile app
 
Jitahidi


Wiki mbili bado unabembeleza tu. Una moyo sana
 
Mtu anayekupenda kwa dhati hawezi kamwe kukataa mawasiliano na wewe kwa siku kadhaa. Kama kakununia hivyo keshapata mwingine. Mpe rafiki yako namba yake ampigie - akipokea ujue hakutaki tena wewe
 
Kama sio mke wako na wewe mchunie tu,Dawa ya jeuri ni kiburi.
 
SUALA ADOGO KAMA HILO HUJUI CHA KUFANYA...KWELI WATU MNAPENDA VIBAYA SANA
 
Back
Top Bottom