wakuu.. i hope you are all good!!!
naamini kwamba kuwa na mpenzi mwenye staha huboresha maisha ya mapenzi katika penzi la wapenzi!!!!!
leo hii nimekuja na topic hii, mpenzi (whether a boy or a girl) kuwa na tabia mbovu ya kumkosoa mwenzi wake hasa on public, mimi binafsi huwa siipendi.. kama kuna tatizo ni bora kusemezana kwa pembeni pasipo na nafsi ya tatu kusikia mnachozungumza!!! iwe ni siri kati ya ninyi
Lovebirds!
sasa mi huwa nashindwa kuzuia butwaa hasa ninapoona hasa mtoto wa kike, badala ya kuwa kioo kwa mchumbawe, yeye ndio anakuwa mkosoaji mkuu wa jamaake!!! thats too much boring!!
hata kwa watoto wa kiume pia, tabia ya kumkosoa dem wako hasa anapokuwa na marafiki zake ama tufanye tu ni watu wengine tu ndani ya jamii, inakuwa si vizuri, kwanza unamuathiri kisaikolojia, na hapo ndipo kutojiamini kunapokuja!!
kwa mfano, tufanye tu kwamba mpenzio, ametoka akiwa amevaa ndivyo sivyo .. je ni busara kuanza kumshushua mbele za watu? assume ndo mmekutana sehemu ambayo ina watu kibao!! like kariakoo etc!
you couples, whether married or unmarried, divorced or whatsoever .. jamani tunatakiwa tu
BADILI TABIA zetu jamani!!
mambo mengine yafanyikie vyumbani mwetu,, yaachwe vyumbani mwetu!!
ni hayo tu!!