Wapentekoste washikana uchawi

Wapentekoste washikana uchawi

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
443
pentekoste-300x169.jpg

SIKU moja baada ya Ikulu kuliumbua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kwamba hawakuwasilisha majina ya uteuzi kwa Rais Jakaya Kikwete, wameanza kushikana uchawi kumsaka aliyesababisha majina hayo kutofika Ikulu.

Hayo yamethibitishwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Ushirika wa Wachungaji wa Kanisa la Pentekoste Tanzania (PPFT), Askofu Pius Ikongo, alipokuwa akizungumza na Tanzania Daima.

Akizungumzia kuhusu tamko hilo la Ikulu, Askofu Ikongo alisema kuwa wanafanya uchunguzi kumnasa aliyesababisha kutofika majina hayo mezani kwa Rais Kikwete.

Tanzania Daima
 
Ni aibu kwa wachungaji kufanya mambo pasipo kutafiti,walipaswa kutafuta ukweli kwanza kama majina yalifika au la ndipo watoe shutuma.
 
pentekoste-300x169.jpg

SIKU moja baada ya Ikulu kuliumbua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kwamba hawakuwasilisha majina ya uteuzi kwa Rais Jakaya Kikwete, wameanza kushikana uchawi kumsaka aliyesababisha majina hayo kutofika Ikulu.

Hayo yamethibitishwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Ushirika wa Wachungaji wa Kanisa la Pentekoste Tanzania (PPFT), Askofu Pius Ikongo, alipokuwa akizungumza na Tanzania Daima.

Akizungumzia kuhusu tamko hilo la Ikulu, Askofu Ikongo alisema kuwa wanafanya uchunguzi kumnasa aliyesababisha kutofika majina hayo mezani kwa Rais Kikwete.

Tanzania Daima

Duh! Jamaa alipotea mlango wa Ikulu....
 
Kanisa nalo linaanza siasa,kumjua tu mtu aliyepeleka majina,haiwezekani mpaka ufanyike uchunguzi.... Tumechoka na hizi timu za uchunguzi zinazoundwa kila leo....
 
Wajiulize je! walitumia dispatch kukabidhi documents? Si ajabu kuna mjanja mmoja alidai anajulikana Ikulu hivyo akapeleka makabrasha kienyeji. Watuonyeshe dispatch book nani alipokea document.
 
Watu mnakosa vitu vya kujadili , aibu kujadili jambo kama hili alafu nanyi mnajiita great thinkers , hakuna hoja ya kujadili hapo naona mnaendekeza umbea tu na chuki juu ya pentecostal churches, kwani kwa akili yenu Ikulu aiwezi ikawa ili mispress hayo majina ?

Mnashangaa nini kama Ikulu imeweza kumpitisha mwenyekiti wa chama na mke wake wakawa wawakilishi wa bunge la katiba ? Ikulu hiyo hiyo imepitishwa majina mawili yanayojirudia kutoka chama hicho hicho cha wafanya kazi

Mnaudhi sana na ni aibu kukurupuka kuegemea upande mmoja bila kufikirisha akili zenu
 
pentekoste-300x169.jpg

SIKU moja baada ya Ikulu kuliumbua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kwamba hawakuwasilisha majina ya uteuzi kwa Rais Jakaya Kikwete, wameanza kushikana uchawi kumsaka aliyesababisha majina hayo kutofika Ikulu.

Hayo yamethibitishwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Ushirika wa Wachungaji wa Kanisa la Pentekoste Tanzania (PPFT), Askofu Pius Ikongo, alipokuwa akizungumza na Tanzania Daima.

Akizungumzia kuhusu tamko hilo la Ikulu, Askofu Ikongo alisema kuwa wanafanya uchunguzi kumnasa aliyesababisha kutofika majina hayo mezani kwa Rais Kikwete.

Tanzania Daima

.
Wapentekoste tatizo kwao ni kutotambua aina ya jamii waliyomo. Wenzao baada ya kutambua majina yao yalipelekwa ikulu kilichofuata ni kuwakilisha bahasha ya kaki kwa maofisa wa ikulu ku- push majina yao. Hivyo jitihada za waliopokea bahasha za kaki ni pamoja na kuhakikisha majina ya wasiotoa chochote yanapotea kabla hayajafika meza kuu.

Mkuu tunaongelea taasisi za dini hilo la kaki linakujaje tena.
 
Watu mnakosa vitu vya kujadili , aibu kujadili jambo kama hili alafu nanyi mnajiita great thinkers , hakuna hoja ya kujadili hapo naona mnaendekeza umbea tu na chuki juu ya pentecostal churches, kwani kwa akili yenu Ikulu aiwezi ikawa ili mispress hayo majina ?

Mnashangaa nini kama Ikulu imeweza kumpitisha mwenyekiti wa chama na mke wake wakawa wawakilishi wa bunge la katiba ? Ikulu hiyo hiyo imepitishwa majina mawili yanayojirudia kutoka chama hicho hicho cha wafanya kazi

Mnaudhi sana na ni aibu kukurupuka kuegemea upande mmoja bila kufikirisha akili zenu
sorry for the inconviniences above ,I intended to write the word misplace,
 
Makanisa ya pentekoste hayana mfumo wa kiutawala kama makanisa ya lutheran au anglican. Wao hawana kiongozi mkuu nchini. mtu yoyote anaweza akajiita askofu au mtume au nabii akajenga kibanda chake na kukiita anavyotaka mfano. Kakobe. Lwakatare. etc. hakuna boss na no kuingiliana sasa ulitegemea nani apeleke majina na ni majina ya nani ? Makanisa haya yanaota kama uyoga Dar na kupiga mziki mnene siku na masaa ambayo sio. Wangekua na central authority wangeweza kuji organise na kufanya vitu kimpangilio.
 
wewe usipenyeze chuki zako hapa wakati watu wako siriaz! kama huwapendi wapentecoste hapa si mahali pake! makanisa kama uyoga wewe yanakuuma nini? wanapiga mziki mnene wewe ulitaka wapige mwembamba? acha hizo! mbona huchukii bar zinazofunguliwa kila kukicha na wanakesha kwa makelele hadi asubuhi? wanasababisha ndoa nyingi kuvunjika!, wanasababisha watoto wa mtaani wengi zaidi!, wanachochea ujambazi zaidi!, wanafilisi watu hela wakishakuwa kroniki! nk huoni hayo?
 
WALOKOLE kwakukurupuka hawajambo..

binafsi naomba wajifunze hierachy ya uongozi kutoka kanisa katoliki
 
huwa mnajifanya mnajua kutoa taarifa uchwara,kwa taarifa yenu majina yalipelekwa.Acheni dharau,mkivimba mitumbo mnaenda kuombewa kwa wapentekoste kwa nn msiende katoliki au kwa waislamu?
 
Bahasha ya khaki? unamaana gani unaposema hivyo?

Back
Top Bottom