wapeni watu kazi sio....!

Hahaaaaa ujumbe umfikie Oscar hr flani pale ofisi za mazingira mikocheni
 
wamechoka pen sisi huku tumechoka kazi
Na ni juzi tu King Mswati kajitwalia kabinti ka miaka 18 kama kawaida yake anaka seal mwenyewe....

Raha iliyoje....!

Ngoja na mie nijitwalie Mnyamulenge wangu, najua wameshachoka kuona maiti za watu zikizagaa barabarani.
Kwa kujitanganza kwamba mimi ni M-TZ kila kimwana ananikenulia meno maana wananiona kama passport na visa ya kuyakimbia machafuko na kwenda kuishi kwenye kisiwa cha amani TZ....
 
Ofsi nyingi siku hizi ndiyo michezo inayofanyika badala ya kuwapa kaz wanawapa naniiihino....
 

unataka kuja nae yule uliyempata goma ....?
 
Duuh hiyo kali, sasa nani ataishikia bango maana hata mjengoni wapo waliobebwa na hiyo kitu.
 
Safi.
wanataka naniii sio nanii.
kwani ukipewa nanii na yenyewe si kazi jamani..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…