Wapendwa nahitaji msaada wenu

scalethat

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
1,063
1,884
wasalaam wana jf mdogo wangu anahitaji msaada wenu wapendwa katika bwana nina bachelor degree ya procurement and supply management ,wiki hii j5 nina interview ya kuattend.

Nahitaji msaada wenu wa kimawazo,na pia kufahamu ni vitu gani haswa as a procurement anapaswa kuvizingatia.

Mana nimeshafanya interview si chini ya 5 lakini zenye matunda hasi,nahisi kuna mahali nakosea nami cjapafaham bado inafikia mahali interviewer ananiuliza km cv nimeianda mwnyewe pamoja na cover letter.

Honestly nimeanda mwenyewe kwa akili na mikono yangu plyz naomba mnifungue masikio na fahamu zangu


Asanteni
 
Kaa chini ujitafakari kwanza uone unakosea wapi...Sisi hatuwezi kubuni kujua unakosea wapi
 
..inaelekea unapofanya interview hujiamin (uko shalow).. Ndo mana wanakuulizaga hvyo. Jtahd kuwa na ujasiri mkuu, kuna wengne hata hyo nafas ya interview hawajawah kuipata, jiamini na ujiandae vya kutosha mkuu.
 
wazo langu... ungeanza kuipitia upya hiyo cv huenda ina makosa kwa jinsi ulivyoiandaa..!
 
CV ingekuwa na makosa usingeitwa kwenye interview, itakuwa labda unakosea kwenye kujibu maswali, tafakari na hilo pia
 
CV inakua nzuri ila unashindwa kuitetea kwa kujibu maswali vizuri

Jiamini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom