yaani nikusamehe hivi hivi bila fimbo??!!! Aaah hapana, utarudia wewe . . . lala chini, nasema LALAAAA
ooohh dear sasa natetemeka dear
ukisha semaga neno chumbani au mlimani
najua kinacho fuata
hahah lol
Jamani, najua hapa sio lengo la haya ninayosema mnisamehe lakin nawahabarisha kinachojiri ktk dunia hii. Naomba m-click hapo chini na mjisomee comment zilizomo
Takotako Wasagajitu | Facebook
ukweli jana nilishuka ghafla kutoka mlimani kwa ajili ya ile sred,,lol
lkn usijali nitakuwa upande wako pia najua TF ni muelewa
wewe CPU hii inatakiwa kule kwa wakubwa dear si hapa..
wewe CPU hii inatakiwa kule kwa wakubwa dear si hapa..
duuhh hata mie ilinipofusha kwa secunde dear lol
ilikuwa tarehe 29.01.2011 juma mosi usiku.
nilipoingia humu ndani ya JF nika haribu mambo..
nilienda kwenye Calender nikaweka birthday yangu usiku huo..
badala ya mwezi wa 11.. mimi nikaweka mwezi wa kwanza
kweli wapendwa naomba mnisamehe bure kwa kuwapotezea muda wenu kujibu..
na msamahaa zaidi uwende kwa alieandika hiyo thread..
nimeona imelete migogoro kidogo humu ndani..
yote makosa yangu ndo maana niko mbele yenu kuomba radhi..
sasa hapo ndo umenisamehe au ndo nini tena hiyo mkuu??
mmhh mie kwenye mashairi sipo my dear..
ngoja nika ombe msaada...
hahahh lol