Wapendeni maadui zenu

This kind of friendship will happen in HEAVEN but here on earth it's impossible!
 
umekosea hawa jamaa sio maadui bali mmoja ni chakula cha mwingine, so huyo Jamaa mweusi akishalamba mchuzi lazima ageukie nyama hapo.
 
Yani siku hawa wakiwa marafiki...mwisho wa dunia utakua umefika!!
 
Kuna kipindi kiko Animal Planet.....nimesahau kinaitwaje I think ni 'strange attractions' kinaonyesha wanyama ambao ni adui in nature wamekuwa marafiki.

Nimeona episode moja tu, paka na mbwa wanaishi nyumba moja na wanacheza wote wala hawafukuzani

So u never know
 
Kawaida kama wanyama wakifugwa pamoja wakafunzwa...ingawa mambo yabaharibika sometimes
 
ujumbe wa picha hii ufikishwe haraka kwa tom & jerry cartoonis tafadhali. kuna mtu ana address ya disney production?
 
mkuu.@kingfish hii ni photoshop sio kweli hawawezi hao kula pamoja hata siku moja mkuu.
n kweli mzizimkavu hao wanyama hawawezi kuwa zizi moja,lakini pamoja kuwa hii ni fotoshop,ni fasihi,inaleta ujumbe kwetu wanadamu,wanaogombana au maadui hawawezi kupatana?
 
Hapo hajamuona bado panya, ngoja amuone uone atakavyofanywa
 
umekosea kuandika.....kuna grammatical error
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…