Wapenda nyumba ndogo,fastafasta !!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapenda nyumba ndogo,fastafasta !!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bulldoza, Oct 19, 2011.

 1. bulldoza

  bulldoza Senior Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanangu, yashike maneno yangu, Na kuziweka amri zangu akiba kwako.2 Uzishike amri zangu ukaishi, Na sheria yangu kama mboni ya jicho lako.3 Zifunge katika vidole vyako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.4 Mwambie hekima, Wewe ndiwe umbu langu; Mwite ufahamu jamaa yako mwanamke.5 Wapate kukulinda na malaya, Na mgeni akubembelezaye kwa maneno yake;7 Nikaona katikati ya wajinga, Nikamtambua miongoni mwa vijana, Kijana mmoja asiyekuwa na akili,8 Akipita njiani karibu na pembe yake, Akiishika njia iendayo nyumbani kwake,9 Wakati wa magharibi, wakati wa jioni, Usiku wa manane, gizani.10 Na tazama, mwanamke akamkuta, Ana mavazi ya kikahaba, mwerevu wa moyo;11 Ana kelele, na ukaidi; Miguu yake haikai nyumbani mwake.12 Mara yu katika njia kuu, mara viwanjani, Naye huotea kwenye pembe za kila njia.13 Basi akamshika, akambusu, Akamwambia kwa uso usio na haya,14 Kwangu ziko sadaka za amani; Leo hivi nimeziondoa nadhiri zangu;15 Ndiyo maana nikatoka nikulaki, Nikutafute uso wako kwa bidii, nami nimekuona.16 Nimetandika kitanda changu, magodoro mazuri, Kwa matandiko ya Kimisri yenye mistari.17 Nimetia kitanda changu manukato, Manemane na udi na mdalasini.18 Haya, na tushibe upendo hata asubuhi, Tujifurahishe nafsi zetu kwa mahaba.19 Maana mume wangu hayumo nyumbani, Amekwenda safari ya mbali;20 Amechukua mfuko wa fedha mkononi; Atarudi wakati wa mwezi mpevu.21 Kwa maneno yake mengi na ulaini akamshawishi, Kwa ubembelezi wa midomo yake akamshinda.22 Huyo akafuatana naye mara hiyo, Kama vile ng'ombe aendavyo machinjoni; Au mpumbavu kuadhibiwa katika pingu;23 Hata mshale umchome maini; Kama ndege aendaye haraka mtegoni; Wala hajui ya kuwa ni hasara ya nafsi yake.24 Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, Mkayaangalie maneno ya kinywa changu.25 Moyo wako usizielekee njia zake, Wala usipotee katika mapito yake.26 Maana amewaangusha wengi waliojeruhi, Naam, jumla ya waliouawa naye ni jeshi kubwa.27 Nyumba yake ni njia ya kwenda kuzimu, Hushuka mpaka vyumba vya mauti.
   
 2. bulldoza

  bulldoza Senior Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mithali (proverb) 7 1:27 (holly bible)
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  You have bull dozed the entire JF!
   
 4. the grate

  the grate JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thnx mkubwa umenipa somthng 2thnk about.GOD blec u
   
 5. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ni nzuri ila wanajf walio wengi hawapend thread kama hizi lol
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  wape na ule mstari wa mithali usemao 'mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. afanya jambo litakaloiangamiza nafsi yake mwenyewe
   
 7. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mithali 6:32 king'asti mbona unasisitiza hivyo? kwema lakini?
   
Loading...