Wapenda Mabadiliko wapo wapi?

Mkuu haya ni Maneno ambayo uliyowahi kusema humu JF " Ha! ha! ha! ha! huwa sisikilizi maushauri ya kunitaka niwe muoga muoga kama fisi, sikuogopa bahari bro miaka sita baharini, nimevuka Bermuda Triangle mara 3, mahali ambapo mabaharia huacha kazi wakisikia meli itaenda kupita hapo!


- Ninachosema humu JF, au mahali popote pale ndicho ninachokiamini, AND THAT IS ME, TAKE IT OR LEAVE IT kwangu mwendo ni mdundo sana mpaka kelewekes, nimesema huu mjadala ni tooo lowa kwangu hauna tija, sio Chadema wala mafisadi wanaoweza kumshinda kwa kura Mbunge wa sasa wa Same East, ningeamini otherwise ungeniona kwenye huu mjadala in full kama kawaida yangu!" ........ Sasa wewe Kama umekatiza barmuda triangle wakati wa kuzama kuopoa miili ulikuwepo kufanya hiyo kazi au Hilo limwili huwezi kuzamia tena?
 
- Labda ujipange upya na kujifunza mazingara aliyojiuzulu ni ya bongo sio ughaibuni, ukijua hilo then utaheshimu uamuzi wake wa kujiuzulu cause tumejionea madudu ya ajabu hapa bongo na wahusika hawajajiuzulu mpaka leo!!

Willie!!
Kama alivyokuwa baba yako
 

- Ndio matokeo ya miaka 50 Ughaibuni this is the best you can do, by the way wewe uliopoa mwangapi huko? ha! ha! ha! leo utabadiika kweli, si unajua unacheza na the master!!


Willie!!
 
Wewe upo kwenye siasa zipi?
Stop fooling yourself, halafu mbona mapovu mengi? ... Siasa zipi unazozungumzia wewe??
Hebu rudia niliyoyaandika halafu highlit niliposema mimi nasoma sana.
Wewe Willy haupo kwenye siasa za bongo, ila unataka uwepo kwenye siasa za bongo. Hata kwenye chama haupo na sidhani kama utakuja kushika position yeyote ya maana CCM. But who knows, mabbe you'll manouvre your way through, but I highly doubt it.
Huwezi kusema tumsifie mtu kwa sababu kwa standards za bongo amefanya la maana. Huyo waziri alishaambiwa na wana - CUF wenzake ajiuzulu na akasema mbele ya waandishi wa habari kuwa hatajiuzulu. Sasa amebadilisha mawazo au wamembana mpaka akajiuzulu?
Halafu hiyo ID unayoizungumzia wewe ni wasiwasi wako tu, I don't know you, never met you and I doubt if one day in our lives we gonna share the same venue.
Labda nina matatizo yangu ya kibinafsi, but as far as I'm concerned, I'm cool ... But umeongea pumba na mimi nimezisoma na nikaamua nikupe ukweli, the rest is just bull.
 
- Sio kosa langu kwamba baba yako hakusoma na hakuwa kiongozi!!

Willie!
Bora baba yangu hakusoma kuliko huyo wa kwako aliyesoma akapewa kura na madaraka na hao ambao hawakusoma halafu akaanza kuwafisadi vilio vyetu vitawatokea puani unataka kutuletea usultani. Kobello ni gamba mwenzako lakini kakustukia upo shallow kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh!
 
William, umeongea kweli na sahihi ila ushabiki wetu kuna wakati unatufanya kuwa blind

kudos
 
comments zaifu ... yak!!!
 
Kujiuzulu kumbe ni ushamba basi hata Yule Waziri wa afya angejiuzulu angeonekana boya hii ndo jf bwana home of great thinker aibu tupu
 
Wazee wa DSM wamesema chochote??maana wao ndo wanaongoza nchi!
 
Ya Zanzibar hayatuhusu. Ingekuwa huku ungeona moto wake. After all maWaziri wenyewe hata hatuwajui, wala utendaji wao.
 

- Nisingekuwa kwenye siasa tayari usingepoteza muda wote kuhangaika na mimi bro!! ha1 ha! ha! ha!, simply ****!! nahisi unazo akili umeona na wengine wamekujibu kwamba hoja zako ni ****!! unasumubuiwa na wivu, chuki binafsi great thinkers wanatakuwa kuwa juu ya hayo!!

Willie!!
 

- Miaka 50 Ughaibuni haya ndio matokeo yake!!, kurudi unaogopa kubaki unaogopa kuishia nursing home, so unakuja kueta fujo JF!! ha! ha! ha!!

Willie!!
 
Mkuu Willie,
Huyu waziri hakujiuzulu kwa kutaka amelazimishwa kumbuka kauli ajali imetokea kwa mapenzi ya Mungu; hata huku kujiuzulu ni kulindana kisiasa hawa watu wanatakiwa washtakiwe kwa kusababisha vifo vya watanzania; mazingira ya utendaji wao wa kazi yametaliwa na rushwa hakuna cha kupongezwa kwa huyu waziri inabidi naye aunganishwe kwenye mashtaka; ajali hizi ni matokeo ya vibahasha walivyokuwa wakipokea.

Chama
Gongo la mboto DSM
 

Hii wewe hukuona/sikia?
Wapinzani wamsifu waziri kujiuzulu

KAMBI rasmi ya upinzani bungeni, imesifu hatua ya aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hamad Masoud Hamad (CUF), kuwajibika kisiasa kwa kujiuzulu kutokana na kuzama kwa meli ya Mv Skagit, iliyoua watu zaidi ya 80.Waziri huyo alimwandikia barua ya kujiuzulu Rais Ali Mohamed Shein, Julai 20 mwaka huu, akiomba kujiuzulu kutokana na ajali hiyo, uamuzi ambao ulikubaliwa kwa rais huyo kumteua Mwakilishi wa Ziwani, Rashid Seif Suleiman (CUF) kuwa waziri mpya wa mawasiliano.Pongezi hizo zilitolewa jana bungeni mjini hapa na Msemaji mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana na Utamaduni na Michezo, Joseph Mbilinyi, muda mfupi kabla ya kusoma hotuba ya kambi hiyo.“Mheshimiwa Spika, naomba kuchukua nafasi hii kumpongeza aliyekuwa waziri wa mawasiliano wa Zanzibar, kwa hatua yake ya kishujaa ya kukubali kuwajibika kisiasa kutokana na ajali ya kuzama kwa meli. Tunaomba hatua hii iigwe na viongozi wote wa Zanzibar na bara pale mambo yanapoharibika,” alisema Mbilinyi na kushangiliwa na wabunge wengi.Naye mbunge wa Magogoni, Hamad Ali Hamad (CUF), wakati akichangia hotuba ya wizara hiyo, alitumia muda mfupi kumpongeza waziri Hamad Masoud kwa wepesi wake wa kuachia ngazi, akisema kuwa huo uwe mfano kwa mawaziri wengine wa pande zote kuwajibika.Utamaduni wa mawaziri kuwajibika wenyewe kisiasa kwa kuachia ngazi pale wanapolalamikiwa kuzembea katika wizara zao, umekuwa ukilegelega ambapo wahusika kila wakati hujivua lawama na kuwabebesha mzigo watendaji wa chini yao.
 
W. J. Malecela tatizo lako unatumia muda wako mwingi kwenye night club na kupiga picha na makahaba, yule Waziri alishinikizwa kujiuzulu na aligoma na akasema kwamba ile ajali ni mipango ya mwenyezi Mungu, na hata Harrison Mwakyembe alivyokwenda Zanzibar alimtetea kwamba kujiuzulu si suluhisho la kila tatizo, lakini chama chake cha CUF ndicho kilichomshinikiza kujiuzulu ili kiwe na taswira nzuri katika jamii, CUF wanajuwa kabisa ile ni nafasi yao akitoka yule ni lazima achaguliwe mwingine kutoka CUF.

Sasa wewe badala ya kufuatilia Taarifa hizi kwa kina badala yake unakesha kwenye makasino na kukurupuko na huu ***** wako unaoonesha hakuna unalolijuwa katika kinachoendelea nchi hii.
Kama ungeshauri chama cha CUF kipongezwe kwenye hili angalau ningekuelewa, lakini kumuita yule loser kwamba ni shujaa basi huenda neno shujaa limepatiwa tafsiri mpya.
 
Last edited by a moderator:

- Sure, sasa kama Uwanja wa Taifa ulijaaa wananchi walioipa Shilingi 10,000 kuwaona "Makahaba" wakipigana ngumi, ha! ha! ha! ina maana hii sasa ni taifa la makahaba au? ha! ha!

- Ninasema hivi aliyejiuzulu ni yeye sio CUF wala anybody, Mtei alipojiuzulu hakuwa loser ila shujaaa, pole sana by the way nasikia uliwahi kuuza kata ya Chadema kwa kambi ya mbunge mmoja wa CCM huko Ukonga, ni kweli au ni maneno tu? ha! ha! ha! ha!

Willie!
 
Loser.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…