Wapemba Wameamua kama Mbwai na iwe Mbwai

Wapemba Wameamua kama Mbwai na iwe Mbwai

Inaonekana wabunge wa bara wameamua kusimama na Nchimbi.

Huyo mzanzibari ametumwa akidhani angepata support, matokeo yake ameishia kuongea peke yake.

Wabunge wa bara kwa wingi wao wakiamua kuipindua meza wanaipindua vizuri tu, bahati mbaya wamezubaa.
Wabunge wa bara ni machoko, hawana uwezo wa kuitetea/kuipambania Tanganyika.
 
Acheni kujenga hoja za kipumbavu, nyau km mwakilishi hana uwezo wa kujua mahusiano ya Rais na makamu wake, zile ni hisia zake tu ukizingatia wazanzibari kwa asili ni wadini sana na hawajawahi kuwapenda wabara, ni wabinafsi mno, ila chama kinatakiwa kimwite ajieleze alimaanisha nini wasipofanya hivyo basi jamii itaamini kuna ugomvi kati ya Samia na Nchimbi, hayo mapimbi madogo ni hatari sana wasiyapuuzie
Kwa mwenendo wa kichama ni ngumu wao kumwita kumhoji au kumwajibisha hii inatokana na mwenendo ulivyo wa kiuwajibikaji, mara nyingi hatujawahi ona uwajibishwaji wa pindi linapo tokea tamko lenye ukakasi. na ilitakiwa ianzie hapo hapo kwa naibu spika kumwamuru ayatoe hayo matamshi yake na kuyafuta.
 
View attachment 3600304
Kwa namna My Mbunge huyu wa Visiwani alivyoongea ni dhahiri hakuna maelewano kati ya Rais na Makamu Wake na kati ya Viongozi wa Zanzibar na Makamu wa Rais. Maneno ni makali hata wabunge wameogopa kupiga makofi! Je hawajafurahishwa? Au ni mpasuko mwingine kati ya Wabunge wa Bara na Visiwani? Tutatoboa 2030 tukiwa salama?
Damu ni nzito kuliko maji
 
Simai si Mpemba wala si Mwakilishi wa jimbo lolote la Pemba.

Uyo ajui ata uyo Yuda nani wala sio Emanuel Nchimbi Nchimbi ni mwaminifu sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Wanaelewana sana kwenye mipango mingi hakuna kauli yoyote kaongea Emanuel Nchimbi yenye kubeba maana mbaya kwa Rais wake!!!

Nchimbi ni hazina ya CCM wapiga ramri na uchonganishi watakwama asubuhi tu kwa Nchimbi !!

Wapinzani baada ya kushindwa kimkakati na CCM

wapo kwenye mradi au Upatu wa kutengeneza mgogoro FAKE

kati ya Rais na makam wake.😜😜😜😜😜😜
 
Wabunge wa bara ni machoko, hawana uwezo wa kuitetea/kuipambania Tanganyika.

Tatizo sio Wabunge!!

Watanzania wenyewe hawataki majungu jiulize Ally Kesi yupo wapi wa jimbo la Nkasi

Yeye sindio alikuwa kinara wa kuwachukia Wazanzibar Bungeni!!!!!

Wananchi wakampiga chini tena kupitia CCM !!!

wakamchagua Mbunge wa Chadema hasiokuwa na chuki yoyote na Wazanzibar 👈

Watanzania walishamuelewa Baba wa Taifa Mwalimu J. Nyerere kwamba kuwabagua Wazanzibar ni dhambi na iyo dhambi itasambaaa na kuwatafuna watendaji wake✍️
 
Huyo hana maadili', huwezi ukamuita yuda makamu wetu. Yaani kama ni mzanzibar ningekuwa na ubavu ningezuia passport yake na asiruhusiwe kusafiri..na asitoke ndani ya Tanganyika apewe mkong'oto kwanza
 
Back
Top Bottom