wanawake wa kibongo hufuata nyota ya kijani, hao wenzetu nyota ya kijani hawaijui kwa miaka 7 ndani ya ndoa mama anokuwa na watoto 7, mambo hayo m,bongo hawezi. kisa cha msichana wa miaka 23 kuzeeshwa na uzazi kama bibi wa miaka 60 nini. wadada wa bongo wanaenda na wakati ndio mana hao wapemba wanawashindwa