Nani kakwambia kile ni kipimo cha ebolaWiki iliyopita nilipata ugeni wa ndugu yangu kutoka Pemba aliyeamua kutumia meli ya Azam inayotia nanga Tanga.Katika mazungumzo yetu alisema kila kitu katika safari kilikuwa shuwari lakini adha kubwa waliyoipata ni wakati wa kuteremka.Kwani lango kubwa la meli halikufunguliwa badala yake abiria wote na mizigo yao na watoto mgongoni walilazimishwa kupanda ngazi nyembamba ili wote haatimae wapite kwenye uchochoro mmoja wa meli kupata mlango kwenye mhudumu aliyekuwa na tochi ya kupima Ebola.
Kwa nje zoezi hili linaonekan lina nia njema ya kulinda afya za watanzania.Hata hivyo ukifikiri sana na kuonisha na mwahala mwengine duniani kwenye ukandamizaji kama ilivyo kule Palestina utagundua kuwa zoezi lote hilo lina mkono wa ukandamizaji kisiasa na kudhalilisha watu wa jamii fulani kuliko huko kulinda afya.
Pemba iko mbali sana baharini na mashariki ya kule kuliko na chimbuko la Ebola,Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.Hakuna lango lolote la kuingia Tanzania,mfano bandari au uwanja wa ndege wa kimataifa.Na wala hakujapatikana wagonjwa wenye maradhi hayo.
Hali hii inafanana sana na kule Palestina ambako mazlayuni wameweka vikwazo vingi vya kiusafiri kwa wapalestina.Kila wanakoelekea kuna mageti na kumtembelea ndugu aliye masafa yasiyofika nusu kilomita basi inaweza ikakuchukua siku nzima na gharama kubwa sana pamoja na kudhoofisha kiafya.
Wanaofanya hivyo si kwamba kuna faida yoyote halisi waipatayo bali ni furaha tu moyoni kuona binadamu mwenzake akidhalilika mbele yake.Maudhi hayo hawafanyiwi vijana tu wanaohofiwa kuwa wanaweza kuzua purukushani kwa hamaki za kuonewa,bali hufanyiwa wazee,watoto na wanawake na bila kuona vibaya.
Hapo ndio utauona ubovu wa Wateule
Yaani Abiria wa SARATOGA/ADVENTURE(Kigoma) FRESTER/DARLUX (Kahama, Kagera)
TRINITY(Kigali) TAQWA/ FALCON /CLASSIC (Zambia, D R C , Zimbabwe.
Hawapimwi
Wanapimwa watu kutoka Pemba
Lol……
Kwanini wasijitenge tu tukauza na Viza kabisa
Huku kwenngine mantiki inakubali angalau kujikomba kwa WHO wasijewakazuia pesa zao..lakini Pemba tena!. Halafu huu uunje wa nchi ni kwa vitu kwa shida shida tu lakini kwa maslahi mengine Unguja na Pemba ni ndani ya nchi.Hao ukipita kila border lazima upimwe, mutukula, Rusumo, Namanga, Tunduma, Kabanga, Silari, Manyovu-Munanila kote huko wanapimwa, Ukumbuke unguja na pemba ni nje ya nchi sio ndani ya nchi nao lazima wapimwe
Sidhani kama wapemba wana lugha tofauti na sauti ya kusikika mbali. Isipokuwa yuko yule anayefahamu lugha zote na sauti hata za kunong'ona.Huyo aliyetukuka akiingilia kati basi hata viziwi husikia na wenye maguvu hunywea wakawa wagonjwa kuliko ugonjwa wa Ebola.Haya basi huu ni wakati Wapemba muongee lugha kali itakayoleweka na watawala.
Mkuu kwenye mambo mengine kama hujui ni vyema kuuliza. Wazayuni (zionists) wapo kilugha na kiuhalisia. Na hapa Muislamu inahusianaje? Usifike mahali ukatishwa na kivuli chako.Hakuna watu wanaoitwa mazayuni duniani wala hakuna neno zayuni kwenye lugha yoyote duniani wewe sheikh ubwabwa.
.
Kuna neno Sayuni na wasayuni. Maislamu mna kazi sana
.Ebola huweza kuenezwa na wale wanaopenda kula popoWiki iliyopita nilipata ugeni wa ndugu yangu kutoka Pemba aliyeamua kutumia meli ya Azam inayotia nanga Tanga.Katika mazungumzo yetu alisema kila kitu katika safari kilikuwa shuwari lakini adha kubwa waliyoipata ni wakati wa kuteremka.Kwani lango kubwa la meli halikufunguliwa badala yake abiria wote na mizigo yao na watoto mgongoni walilazimishwa kupanda ngazi nyembamba ili wote haatimae wapite kwenye uchochoro mmoja wa meli kupata mlango kwenye mhudumu aliyekuwa na tochi ya kupima Ebola.
Kwa nje zoezi hili linaonekan lina nia njema ya kulinda afya za watanzania.Hata hivyo ukifikiri sana na kuonisha na mwahala mwengine duniani kwenye ukandamizaji kama ilivyo kule Palestina utagundua kuwa zoezi lote hilo lina mkono wa ukandamizaji kisiasa na kudhalilisha watu wa jamii fulani kuliko huko kulinda afya.
Pemba iko mbali sana baharini na mashariki ya kule kuliko na chimbuko la Ebola,Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.Hakuna lango lolote la kuingia Tanzania,mfano bandari au uwanja wa ndege wa kimataifa.Na wala hakujapatikana wagonjwa wenye maradhi hayo.
Hali hii inafanana sana na kule Palestina ambako mazlayuni wameweka vikwazo vingi vya kiusafiri kwa wapalestina.Kila wanakoelekea kuna mageti na kumtembelea ndugu aliye masafa yasiyofika nusu kilomita basi inaweza ikakuchukua siku nzima na gharama kubwa sana pamoja na kudhoofisha kiafya.
Wanaofanya hivyo si kwamba kuna faida yoyote halisi waipatayo bali ni furaha tu moyoni kuona binadamu mwenzake akidhalilika mbele yake.Maudhi hayo hawafanyiwi vijana tu wanaohofiwa kuwa wanaweza kuzua purukushani kwa hamaki za kuonewa,bali hufanyiwa wazee,watoto na wanawake na bila kuona vibaya.
Mkuu! mimi nnakuhakikishia tu kwamba Wapemba, kama unavyowaita, wana elimu pengine kuliko wewe na nduguzo.Ami,
Inawezekana una hoja ila kuhusu kupimwa EBOLA sidhani kuna uzayuni hapo,wewe utakuwa na ka uzayuni kwenye akili yako zaidi.
ENYI WAPEMBA...Peaneni elimu kwa watoto wenu na hakika mtakuwa taifa kubwa.Acheni kufikiri kwamba kuna ukombozi nje ya kupata elimu.Elimu ndio msingi wa mabadiliko
Kila la heri
Wazayuni ni lugha gani?Mkuu kwenye mambo mengine kama hujui ni vyema kuuliza. Wazayuni (zionists) wapo kilugha na kiuhalisia. Na hapa Muislamu inahusianaje? Usifike mahali ukatishwa na kivuli chako.
Ukisema Hawa kwa Kiswahili wanaitwa Sayuni ni wapi? Nilipotaja Wazayuni niliainisha pia kwa Kiingreza kuwa wanaitwa zionists. Kwa hivyo bado ndivyo ilivyo kwamb Wazayuni wapo na hiyo ni kwa Kiswahili. Ila unao uhuru wa kupenda na kuchukia wawe Waislamu au wengine na hiyo kwa kawaida huwa haibadilishi chochote kuwepo kwao.Wazayuni ni lugha gani?
.
Kiswahili wanaitwa Wasayuni/Sayuni
Kiispaniola wanaitwa Sionista
Kifaransa wanaitwa Sionite
Kiarabu wanaitwa الصهيوني
Kiingereza wanaitwa Zionist.
Kiebrania ni צִיּוֹנוּת
.
Chuki zenu Waislamu ni mbaya sana mnawaita Mazayuni yani kitu msichokipenda hata ndani yenu lazima mkianze na "MA" mfano Suni wanawaita shia (mashia) na shia wanawaita suni (masuni) shenzy kweli nyie.
Usisahau nataka uniambie Zayuni/Wazayuni ni lugha gani
Ubishi mwingine haujawahi kuwa na maana hata kidogo.Ukisema Hawa kwa Kiswahili wanaitwa Sayuni ni wapi? Nilipotaja Wazayuni niliainisha pia kwa Kiingreza kuwa wanaitwa zionists. Kwa hivyo bado ndivyo ilivyo kwamb Wazayuni wapo na hiyo ni kwa Kiswahili. Ila unao uhuru wa kupenda na kuchukia wawe Waislamu au wengine na hiyo kwa kawaida huwa haibadilishi chochote kuwepo kwao.