Wapemba kulazimishwa kupiga kura?

Wapemba kulazimishwa kupiga kura?

Usilazimishe unalowaza wewe ndio niseme Mimi! Serikal ipo sahihi kushawishi Watumishi kwa kuwa Msimamo wa tume ni msimamo wa Serikal

Ila hapa serikali haikushawishi bali imelazimisha wafanya kazi waende kusajili vitambulisho vyao vya kupigia kura kwa wakuu wao wa kazi.... sasa tujiulize kwa lengo gani.. au na hili pia serikali kufanya si dhambi ??
 
Wana JF, napenda kuwajuza yanayotokea kisiwani Pemba ni kwamb Wafanyakazi wote wa serikali ya SMZ wamelazimishwa kuwasilisha vitambolisho vyao vya kupigia kura kwa wakuu wao wa kazi ili nambari za vitabulisho hivyo zisajiliwe.

wa kweli haijaeleweka lengo la CCM kufanya hayo hasa ni nini, lakini kuna na vitisho kwa asiepeleka kitambulisho chake cha kupigia kura.

Tungewaomba wahusika wakuu wa CUF/UKAWA kufuatilia haya mambo.

Inavyoonekana CCM wanahaha kutaka kuhalalisha haramu yao kwa kila hali.
mimi sitokubali kupeleka kitambulisho kikarekodiwe wakachukue vya watoto wao?
 
Back
Top Bottom