Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,762
- 4,576
Kamjadala kamezuka hapa... Eti kati ya hawa watajwa ninani anapenda sifa zaidi?
Harikaaaaa...... Hanini?Wapare tuondoe kwenye hiyo list hatunaga hayo mambo....!
Kamjadala kamezuka hapa... Eti kati ya hawa watajwa ninani anapenda sifa zaidi?
Unataka kutambika?Kwani wewe Kabila gani?.
Atakuwa rutashobya....rweyomamuKwani wewe Kabila gani?.
Kuna wajaluo usiguse hapo.