Wapanga kumng'oa Mbunge Lema

Wapanga kumng'oa Mbunge Lema

Haya tuambie nani anakubalika hapo A town
 
Nimesikia kwa kuuliza wananchi wakiwemo wanachadema,wameniambia lema hafai na hajafanya maendeleo arusha.mnalijua hilo?.

bunge-house.jpg

KAZI ZA MBUNGE NA BUNGE:

Tunaweza kuzifahamu kazi za mbunge, kwa kuangalia kazi za Bunge:

  1. Mbunge ni mwakilishi wa jimbo (wananchi) katika Bunge.
  2. Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa katiba hii" Ibara ya 63(2), pia na Ibara ya 64(1) inaelezea kazi za Bunge, juu ya kutunga sheria.

​
Hivyo basi Mbunge, ni mwakilishi wa jimbo lake katika chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kina madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake.
 
Nimesikia kwa kuuliza wananchi wakiwemo wanachadema,wameniambia lema hafai na hajafanya maendeleo arusha.mnalijua hilo?.

Hao wanaosema hafai waende kwenye sanduku la kura ya maoni kama wana ubavu, hizi kura za kwenye mitandao hazihesabiki kwa sababu tume ya taifa ya uchaguzi haitambui uhalali wa wapiga kura waliyomo kwenye mitandao
 
Hakuna lolote amefanya lema Arusha naunga mkono ang'olewe. Wanaompenda lema arusha ni wavuta bangi wenzake.
 
Ni nilidhani kweli hakubaliki kumbe ni unafki tu mnatuambia. Kwa mfano MUSTAFA AKONAY (MB) wa mbulu hakubaliki kwa wananchi ndo maana hata ndani ya cdm kashindwa lakin kwa lema siamini
 
seriously the guy has childish thinking and reasoning! as far as know he was a bythe way choice after CCM irritated the Arushans in inveted commas! he hasnt deliverd anythng to Arusha and its environs..rather we wil remembr his machoism and a leader in many unlawfull gatherings to incite and lure Arushan into tantrams Demonstration participated by hulgans mainly drunkerd,ganja boys of Arusha southward,Who live by terrorising pedestrians daily and Wazungus!one thang strange about the ndugus is when u ask them why r u in MAANDAMANO. they will quickly reply in a drunkerd tone.nadai HAKI yangu,u ask him which one?and Stammering iyo iyo!holding rungu in one hand and a stone in the other!chanting Lema forever! viva CHADEMA!
 
Wewe utakuwa unafaa kuwa Mbunge wa Arusha coz uko matured and u have gone to school more than Chenge.
 
Hata kwenye kura za maoni amepigwa mwereka,, Hakubaliki kabisa haelewani mpaka na Golugwa,Nanyaro undugu wake na Mbowe unampa kiburi

Mnajifariji kweli, kwani Mbowe ndio aliempa ubunge? Hao wanaopita vichochoroni wapo na tunawajua wanakuja kwa gia ya kilokole eti nabii amemtabiria yeye ndie anafaa Arusha, kama ni hivyo si atulie tu, nn kutafuta kundi la vijana wa kambi ya fisi na kuwalisha maneno ya kipuuzi waongee kwa wananchi? Yeye aliutaka udiwani wa huo mtaa akakuta diwani wa hapo ni mziki mnene hata mtoto mdogo anamkubali ndio kahamishia hasrira zake kwa lema, mwambieni atulie kura za maoni ndio muamuzi huku mtaani hakuna kamati tendaji akaongee hayo kwenye kikao. Nabii katabiri subiri basi.
 
seriously the guy has childish thinking and reasoning! as far as know he was a bythe way choice after CCM irritated the Arushans in inveted commas! he hasnt deliverd anythng to Arusha and its environs..rather we wil remembr his machoism and a leader in many unlawfull gatherings to incite and lure Arushan into tantrams Demonstration participated by hulgans mainly drunkerd,ganja boys of Arusha southward,Who live by terrorising pedestrians daily and Wazungus!one thang strange about the ndugus is when u ask them why r u in MAANDAMANO. they will quickly reply in a drunkerd tone.nadai HAKI yangu,u ask him which one?and Stammering iyo iyo!holding rungu in one hand and a stone in the other!chanting Lema forever! viva CHADEMA!

I wonder where dd u learnt to use others language to hide your foolshness. Laiti kama huu utumbo wako ungeuandika kiswahili nafikiri forum nzima ingenuka shombo la hayo mapuvu yako
 
Back
Top Bottom