Naamini ukifika Njombe ukiulizia tu Nyumbanitu wadau watajua unachohitaji watakuelekeza namna ya kufika huko ukakutane na ule wa punje.
Au kama huo huutaki fika Image-Kilolo Iringa kuna fundi mmoja nahofia hata kumtaja hapa asije nigeuza tumbili.
Ukishindwa kwa huyo fundi wa kilolo sogea mpaka Songwe,Sogea mpaka hapo Mpemba kutana na jamaa anaitwa Shikunzi atakuvusha upande wa pili,nchi jirani kuna mtaalam wake atakupa ule wa Kidonda sugu.
Ukishindwa huko kote njoo PM nikupe mawasiliano ya mwanangu Matthew yuko Makambako hapo akupeleke kwa Mafundi wake wa Congo huko.