hahahahahaaa!
BAKWATA haiibgilii siasa.....lakini wanamuunga mkono Meya.
Kanisa linaingilia siasa.......halimtambui Meya
Meya wa Arusha anazidi kupata wakati mugumu. Wale wapagani wasioamini dini yeyote wameweka wazi nia yao, Mzee Ole Ngoyai akiongea na wenzake maeneo ya kona ya Illboru karibu na Masai Pub ameeleza kusikitishwa na uchaguzi huo wa Meya huyo.
Source: Rev Masa

Du! Masa umenivunja mbavu.Meya wa Arusha anazidi kupata wakati mugumu. Wale wapagani wasioamini dini yeyote wameweka wazi nia yao, Mzee Ole Ngoyai akiongea na wenzake maeneo ya kona ya Illboru karibu na Masai Pub ameeleza kusikitishwa na uchaguzi huo wa Meya huyo.
Source: Rev Masa
Meya wa Arusha anazidi kupata wakati mugumu. Wale wapagani wasioamini dini yeyote wameweka wazi nia yao, Mzee Ole Ngoyai akiongea na wenzake maeneo ya kona ya Illboru karibu na Masai Pub ameeleza kusikitishwa na uchaguzi huo wa Meya huyo.
Source: Rev Masa
Taarifa za kiintelejinsia zinaonyesha hata wahindu hawamkubali Mstahiki Meya wa Arusha.
Nadhani hata sisimizi hawamtaki huyo mbabaishaji!!!!! Tatizo hawajui kuongea wangemkataa tu !!!
Hee! wapi Chatanda? ili atusaidie kuwaambia hawa nao wavue ..... (sasa sijui nini maana wengine aliwaambia majoho) ili waingie kwenye majukwaa ya siasa.Meya wa Arusha anazidi kupata wakati mgumu. Wale wapagani wasioamini dini yeyote wameweka wazi nia yao, Mzee Ole Ngoyai akiongea na wenzake maeneo ya kona ya Illboru karibu na Masai Pub ameeleza kusikitishwa na uchaguzi huo wa Meya huyo.
Source: Rev Masa
Huyu Meya wa CCM hata kuzimuni hatakiwi, amemwaga damu za watu ndiyo raha yake.
Watamtambuaje wkt yule mjumbe ambae ni mbunge wa TA anavamia tu vikao kwa vile ni katibu wa CCM AR au ni hawala wa makamba?
freemasons...... pia hawaridhiki na uhalali wa meya huyo wa Arusha