Jamaa WatiGO sijui wanamatatizo gani maana net hakuna hakuna taarifa,
Yaani imekaa utadhani hao watendaji wanatumwa ili waaribu soko la tiGO maana mpaka sasa tiGO ndo mtandao unao ongoza Tanzania lakini hapo hapo unakuna watendaji wameuchuna jii.
Nadhani wakubwa watagundua tu! nini kinaendelea.
hii inasababisha watu wengine tuanze kurudi tena voda kwa ajili ya internet