wap ndoa imeamrishwa..?

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
bible inaniambia nenden mkaijaze dunia na kuitiisha sasa....swala la ndoa lmetoka wapi na Adam kwan alifungishwa ndoa.?
 
Kweli bana, ila Baibo imesisitiza sana tuzae ili tuijaze dunia..
Wale wagumu wa kutoa Dudu ipo siku hasira za Bwana zitawashukia....

Wote tuseme Ameeen.....!
 
bible inaniambia nenden mkaijaze dunia na kuitiisha sasa....swala la ndoa lmetoka wapi na Adam kwan alifungishwa ndoa.?

Mushi92 umeonja kidogo ndo ukapost hii thread
 
Kweli bana, ila Baibo imesisitiza sana tuzae ili tuijaze dunia..
Wale wagumu wa kutoa Dudu ipo siku hasira za Bwana zitawashukia....

Wote tuseme Ameeen.....!

laa na mwanamke kwa ridhaa ya wazaz... inatosha
 
Mushi92 umeonja kidogo ndo ukapost hii thread

hahahaha wee jamaa .
kila m1 anakomaa na ndoa pasipo kujua n mambo ya kibinadam(kwa mawazo yangu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…