Baba yangu Mdinyakobe Kimario naye alikuwa muongo wa kutwapwa.
Alikuwa nasema kipindi alipokuwa anasoma hakukuwa na mwanga (taa) wa kusomea kama leo.
Ati, yeye alikuwa anasoma (usiku) kwa kutumia mwanga unatokana na sigara iliyokuwa inayovutwa na baba yake.
Wazee wengine bhana!