a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,343
- 3,822
Maafrika ni maahira, et yanaomba
Wakat hadith za huyo unaemuomba aliuwawa nahao hao wanasiasa tena kwa fedhea kubwa
Maahira ndio niniMaafrika ni maahira, et yanaomba
Wakat hadith za huyo unaemuomba aliuwawa nahao hao wanasiasa tena kwa fedhea kubwa
Maahira ndio nini
MataahiraMaahira ndio nini
Utahira wa ki-Mungu ni bora sana kuliko utimamu usiokuwa na MunguMataahira
Lini Allah aliuawa na wanasiasa?Maafrika ni mataahira, et yanaomba
Wakat hadith za huyo unaemuomba aliuwawa nahao hao wanasiasa tena kwa fedhea kubwa
tuombee nchi yetu hayo yanayokuja yasitupate kama si mpango wake muumba, na kama ni adhabu ya Mungu basi tuombe atupunguzie adhabu na tuombe rehema na neema yake ,ila hali ya mvua,elinino,NJAA na hayo mabaya yote yanayokuja mbeleni ikiwemo mabaya yote ya kiuchumi,kisiasa na kijamii yasitupate.
Kwani siku zote tulikuwa hatuombi?1.AMANI YA NCHI YETU
2.UMOJA WA KITAIFA
3.TUOMBE KWA AJILI YA VIONGOZI WETU
4.UCHUMI WA TAIFA
5.UTAWALA WA HAKI NA SHERIA
Chochote Mungu atakachokuongoza kuomba KWA AJILI ya NCHI yetu omba mana kikubwa zaidi amani ,mana pasipo kuwa na amani ujue Mungu hatakuwepo ambao hakuna amani,tuombe Imani idumu.
Mungu WETU ni WA amani anapenda amani ,amani ilipo ndipo alipo.
UMOJA Mungu WETU anapenda UMOJA na upatanishi ,yeye Mungu ni WA UMOJA na Roho,mwana,Mungu BABA
Mungu WETU ni Mungu WA HAKI tuombe KWA AJILI ya utawala WA HAKI na SHERIA.
UCHUMI nchi hii ni yetu yuipende tuombee mema tuombe Mungu atuepushe mbali na umasikini,njaa na magonjwa,na majanga ya asili,mafuriko ,ukame,n.k
Tanzani nchi yangu nakupenda nakuombea mema KWA Mungu,Mungu atuepushe na mabaya.