vijana wana kazi kweli kweli, wacheki hawa>nimewashuhudia pale rozana wakisubiri usafiri asubuhi. >me. Mambo
>ke. Poa
me. Mzima
>ke. Mzima.
>me. Unaelekea wapi? Na story nyingine za kuulizia jina
>ke. Mjini
>me. Ok maskani wapi?
>ke. Huko
>me. Huko ndo wapi?
>ke. Bomu bomu
>me. Mi nimependa tuwe mabest vipi naweza pata contact zako.
>ke. Poa
>me. Nigee namba, au nikupe cmu uandike mwenyewe?
>ke. Sina simu.
>me. Akashangaa
>ke. Mbona unashangaa kwani ajabu kutokuwa na simu?
>me. Yap ni ajabu kwa binti kama wewe
>ke. Ndo hivyo sina
>me. So njia nyingine ya kukupata?
>ke. Akashangaa>kunipata mimi?
>me. Ndiyo
>ke. Kunipata ili unipeleke wapi?....jamaa uvumilivu ulimshnda na ikabidi ampotezee. Kinachonishangaza>>hivi guyz hawawez/hatuwezi ongea na mtu bila kuomba hayo manamba? Samtaim ukauzu unahitajika, wataanza wao tu kuomba.