Waomba hifadhi wa Uingereza wajificha kukwepa kupelekwa Rwanda

View attachment 2219941

Habari kutoka BBC:
Watu wanaohukumiwa kuingia Uingereza kinyume cha sheria wanakabiliwa na kupelekwa Rwanda kwa ajili ya makazi mapya.

Mashirika ya misaada yanasema waomba hifadhi kadhaa nchini Uingereza wamejificha kwa sababu ya hofu kuwa watatumwa Rwanda.

Chini ya mkataba uliotiwa saini mwezi uliopita, watu wanaohukumiwa kuingia nchini kinyume cha sheria wanakabiliwa na kupelekwa Rwanda kwa ajili ya kupata makazi mapya.

Shirika la Msalaba Mwekundu na Baraza la Wakimbizi linasema tishio la kuondolewa limewafanya baadhi ya wale wanaotafuta hifadhi kujidhuru; mmoja amejaribu kujiua.

Mashirika ya kutoa misaada yamekosoa mipango ya serikali ya Uingereza kuwa ni ukiukaji wa wajibu wa kutoa huduma.

Ofisi ya Mambo ya Ndani ya London inasema inachukua kila hatua kuzuia kujidhuru au kujiua.Inasema inatumai sera yake itadhoofisha mtindo wa biashara wa wafanyabiashara wa watu.
Nimeangalia orodha ya hizo nchi karibia zote ni zile zenye kitabu kilichokamilika, ambazo nchi zao walikotoka ama.wame adopt mfumo wa hicho kitabu ili kuwa na maisha bora waliyoandikiwa na huyo mwandishi, ama kuna vikundi vinavyoendesha vuguvugu la kuendesha nchi kwa imani hiyo, na duniani kote, walipo hao waamini , wanasema mfumo huo ndio.bora kuufuata sasa mbona wamekimbia nchi zao na kwenda kujificha kwenye nchi zinazofuata mifumo wasioutaka?
 
Wapo kwa mamilioni uturuki,halafu hao wakimbizi waende hukohuko kwa waliowapelekea Vita makwao
Saudia wao wanachanja Kodi ya kila mwaka kwa ndugu zetu toka familia Maskini yaan mtu yupo radhi akope awapelekee pesa Saudia kwa mwamvuli wa utalii
 
Back
Top Bottom