Waoaji wapo ila hawana hela

hmmmmm.

Mambo?
Mambo yangu yako poa sana just like you ,furaha ,aman, kufanikiwa ktk my goals nisehem poa kabisa.

Why mmmhhhh?? Serious you fits the description of a perfect lover......" nimeongea kwa Sauti ya chiiiiini"
 
Si kila siku yapo tunayaona hujawahi ona mtu akiwa hana pesa anasalimia lugha yetu akizipata utasikia "how are you " [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakubali hayo mambo yapo.

Na hayana jinsia. Wapo me au ke wanao display their true images baada ya kukua kiuchumi.

Lakin ni aina fulan ya ushamba.
 
Kwa akili if you are a man big up your wife ana /ata enjoy sana maana wewe ni mwelewa.
sana .
kweli asilimia kubwa hawana heLa
 
Nakubali hayo mambo yapo.

Na hayana jinsia. Wapo me au ke wanao display their true images baada ya kukua kiuchumi.

Lakin ni aina fulan ya ushamba.
Ndiyo hivyo wahenga walisema msafara wa mamba na kenge wapo
Natabia hizo si wote ila wengi tu wenye tabia hizo, kuna kipindi wadada wa USA walilalamika
kuwa vijana asili ya africa wana wapenda wakiwa choka mbaya siku wakitoka kimaisha wanawakimbia na
kwenda kwa wale wenye kufanana na pesa
 
Wape pole.

Ila si kuna karma nasikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…