Wao wameshindwa Monduli. Lowassa ameweza Karatu na Chato

amilyroley

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
621
1,199
Lowassa amewapiga Magufuli na Dr. Slaa home and away. Wao walishindwa kabisa kufanya mkutano Monduli kwa kukosa kabisa watu na wakaamua kiwasha gari zao kwenda arusha. Ila Lowassa aliwapiga mafuriko ya maana Chato na jana amewamaliza Karatu kwa nyomi ambalo wanaKaratu wanasema hawajawahi kuliona tangu wazaliwe.
 
1. WARIOBA anataka katiba yake ya wananchi kwa 100%. CCM inapinga rasimu ya Warioba. Warioba anaipigia kampen CCM.

2. MREMA anampigia kampeni Magufuli achaguliwe kuwa rais. Chama chake cha TLP kimesimamisha mgombea urais.

3. MAGUFULI amesema atakirudisha "kiwanda cha nguo" cha Tanelec. Tanelec inatengeneza bidhaa za umeme.

4. SLAA anatuambia alishiriki kuandaa ilani ya CDM ambayo Mh.Lowassa anaitumia kupigia kampeni. Dr.Silaa anamuunga mkono Magufuli na amesema Ilani ya chadema haizungumzii ufisadi.

5. Mh.Magufuli alipokua Himo aliwaambia wananchi wamchague MREMA jimbo la vunjo. Jimbo la vunjo pia lina mgombea ubunge kwa ticket ya ccm.

😳NGACHOKA MIE 😳
 
Chato ??unajua yaliyowakuta Chato??

By the way labda unaongelea ile Chato yenye miembe stand.

Wapi "Msukuma"
 
1. WARIOBA anataka katiba yake ya wananchi kwa 100%. CCM inapinga rasimu ya Warioba. Warioba anaipigia kampen CCM.

2. MREMA anampigia kampeni Magufuli achaguliwe kuwa rais. Chama chake cha TLP kimesimamisha mgombea urais.

3. MAGUFULI amesema atakirudisha "kiwanda cha nguo" cha Tanelec. Tanelec inatengeneza bidhaa za umeme.

4. SLAA anatuambia alishiriki kuandaa ilani ya CDM ambayo Mh.Lowassa anaitumia kupigia kampeni. Dr.Silaa anamuunga mkono Magufuli na amesema Ilani ya chadema haizungumzii ufisadi.

5. Mh.Magufuli alipokua Himo aliwaambia wananchi wamchague MREMA jimbo la vunjo. Jimbo la vunjo pia lina mgombea ubunge kwa ticket ya ccm.

😳NGACHOKA MIE 😳

Huu unaitwa mparaganyiko.
 
��NGACHOKA MIE ��

Imfikie jingalao
 
Ndio ukweli huo. Magufuli angehutubia monduli kama lowassa alivyokampeni chato
 
1. WARIOBA anataka katiba yake ya wananchi kwa 100%. CCM inapinga rasimu ya Warioba. Warioba anaipigia kampen CCM.

2. MREMA anampigia kampeni Magufuli achaguliwe kuwa rais. Chama chake cha TLP kimesimamisha mgombea urais.

3. MAGUFULI amesema atakirudisha "kiwanda cha nguo" cha Tanelec. Tanelec inatengeneza bidhaa za umeme.

4. SLAA anatuambia alishiriki kuandaa ilani ya CDM ambayo Mh.Lowassa anaitumia kupigia kampeni. Dr.Silaa anamuunga mkono Magufuli na amesema Ilani ya chadema haizungumzii ufisadi.

5. Mh.Magufuli alipokua Himo aliwaambia wananchi wamchague MREMA jimbo la vunjo. Jimbo la vunjo pia lina mgombea ubunge kwa ticket ya ccm.

😳NGACHOKA MIE 😳
Fisadi ahamia Chadema na kupewa bendera ya kugombea urais.hii ni baada ya kukatwa na CCM

Sumaye alisema ccm ikimpitisha fisadi lowassa atahama chama...ccm ikamkata Sumaye akahamia UKAWA na kumnadi fisadi.

Kingunge anaimba mabadiliko wakati ndio kikongwe wa uzembe wa ccm.

Lissu alisema lowassa ni fisadi baada ya kuhamia Ukawa lowassa kawa msafi.

lema alisema lowassa anafaa kupigwa mawe juzi kamuita mh rais.

Mbowe.......over my dead body!!

Msigwa alisema watanzania watakaomchagua lowassa wakapimwe akili.

orodha itaendelea....
 
Watu wa Monduli wanamwabudu na kumwogopa Lowasa kwa kila asemalo lazima wafuate wanaogopa kutengwa.
 
1. WARIOBA anataka katiba yake ya wananchi kwa 100%. CCM inapinga rasimu ya Warioba. Warioba anaipigia kampen CCM.

2. MREMA anampigia kampeni Magufuli achaguliwe kuwa rais. Chama chake cha TLP kimesimamisha mgombea urais.

3. MAGUFULI amesema atakirudisha "kiwanda cha nguo" cha Tanelec. Tanelec inatengeneza bidhaa za umeme.

4. SLAA anatuambia alishiriki kuandaa ilani ya CDM ambayo Mh.Lowassa anaitumia kupigia kampeni. Dr.Silaa anamuunga mkono Magufuli na amesema Ilani ya chadema haizungumzii ufisadi.

5. Mh.Magufuli alipokua Himo aliwaambia wananchi wamchague MREMA jimbo la vunjo. Jimbo la vunjo pia lina mgombea ubunge kwa ticket ya ccm.

😳NGACHOKA MIE 😳

Mkuu umetisha apo kwenye kiwanda cha nguo cha tanelec hivi huyu jamaa yupo sirias kweli!!!!!
 
1. WARIOBA anataka katiba yake ya wananchi kwa 100%. CCM inapinga rasimu ya Warioba. Warioba anaipigia kampen CCM.

2. MREMA anampigia kampeni Magufuli achaguliwe kuwa rais. Chama chake cha TLP kimesimamisha mgombea urais.

3. MAGUFULI amesema atakirudisha "kiwanda cha nguo" cha Tanelec. Tanelec inatengeneza bidhaa za umeme.

4. SLAA anatuambia alishiriki kuandaa ilani ya CDM ambayo Mh.Lowassa anaitumia kupigia kampeni. Dr.Silaa anamuunga mkono Magufuli na amesema Ilani ya chadema haizungumzii ufisadi.

5. Mh.Magufuli alipokua Himo aliwaambia wananchi wamchague MREMA jimbo la vunjo. Jimbo la vunjo pia lina mgombea ubunge kwa ticket ya ccm.

😳NGACHOKA MIE 😳

Mimi nimeamua nikae kabisa kwenye kitofali nipumzike nimechoka kweli. Hapa ndipo ninapomuekewa lowasa elimu elimu elimu.
 
Jingakweli tupeni picha ya kasuku akiwa monduli.
Mkiweka hiyo picha hapa natembea uchi.
 
naomba mwenye picha ya lowasa akiwa chato atuwekee hapa.pia mwenye picha ya magufuli akiwa monduli tafadhali...

Lowassa Chato

View attachment 297037

View attachment 297038

EL CHATO2.jpg
 
jingalao, Tujadili Translation Ya Hii Id, Kwanza, Na Kupuuza Ujinga Wa Hi Id! Kipaumbele Cha Kwanza Elimu!, Cha pili Elimu!, Cha Tatu Elimu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom