Wao tu ndani kwao hakukaliki haya mapenzi mbashara wanamwambia nani!

kabingo

Senior Member
Oct 16, 2015
115
118
Clouds tv naona wako busy kutangaza mapenzi, kinachoshangaza ni haya maigizo, eti mume anatoka kwenye pombe amelewa anafika anapokelewa na mkewe vizuri, kwa sisi tunaoishi na wanawake tunajua hiki kitu hakipo kwa wanandoa wa sasa hata wewe unayesoma hapa utakuwa shahidi yangu.

Kwanza maneno utakayotolewa utakaa chini ujiulize kama huyu ulimpenda mwenyewe au ulilazimishwa. Hasa wanawake wanaoongoza kwa kujifanya wababe kwa waume zao ni wale wanaoishi uswahilini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom