Wao ni Maandamano!!!

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,868
Sisi tunajenga NCHI....
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1379587052030.jpg
    8.4 KB · Views: 514
Hayo ndiyo maisha bora ya CCM kujitwika ndoo za maji miaka 52 ya uhuru. Huyo anayemtwisha ndoo ana manyumba kuanzia Kigoma hadi Dar.
 
...daaah mkuu acha kusanifu wananchi bhana, tueleze mlichojenga kwa miaka 50 iliyopita, and usigusie barabara coz ni matokeo ya moto wa chadema ndo mnaanza kujihami. tupe data za miaka kumikumi,tuwape credits zenu...
 
Hayo ndiyo maisha bora ya CCM kujitwika ndoo za maji miaka 52 ya uhuru. Huyo anayemtwisha ndoo ana manyumba kuanzia Kigoma hadi Dar.

Hata Marekani na China maskini zaidi ya huyo wapo! Acha umburula wako,maendeleo huja kidogokidogo,we umekaa kwenye laptop hapo umesomea shule za chadema? Hamna hata shukurani! Li chama gani kutwa maandamano,ngumi bungeni,mabomu ya kujilipua, kuchoma matairi barabarani,kuvunja maduka,na Ujambazi(Lema) Hatuwatakiiiiiii!
 
kama huo ni ujenzi wa nchi basi baada ya miaka 52 basi itatugharimu miaka 20000 kufiki maendeleo ya kiwango kinacho takia
Viva wazee wa sembe!
 
mzee biala ngumi na maandamono hii nchi ingekuwa imeisha uzwa yote, kidogo hii imewashikisha adabu, hizo unazo ita shule za kata ni majanga ndiyo maan watoto wao hawasomi huko, kama unaandaa mtoto wako awe mtwana wa watoto wa mafisadi ndiyo unashabikia hizo shule zisizo na nyuma wala mbele
 
Ile kauli mbiu ya Ari mpya, Nguvu mpya na Kasi mpya (ANGUKA) imeishia wapi vile?
 
Kama ni umbulula ni wako unayetokwa povu na kutukana watu usiowajua na bila kutoa hoja isiyokamilika. Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala sishabikii na wala sikuzungumzia mambo ya CHADEMA naona kila ukilala unaota CHADEMA. Hao CHADEMA ni watafutaji tu kupitia siasa na pengine wakipewa nchi wanaweza kutotimiza miahadi wanayoitoa kwa wananchi.
 

Kumbe! Hata Arusha mabadiliko yameanza kuonekana.
 

Kweli humu kuna watu vichwa mnafugia nywele na jukumu la kufikiria mmevikabidhi viungo vingine... mimi sijasoma shule za ccm..
 
Tatizo waTanzani tumeshawazoea, ni wepesi sana kulaumu.
 
Alafu nokia zina roho za paka ata udondoshe mara ngapi kitu kipoo ok
 
kidogo kidogo toka lini na mpaka lini kuna watu akili zenu sijui zinaenda kutembea.lakuni ni kwa sababu wao wana maisha mazuri.ndio maana wengine hawaamini uwepo wa mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…