Mara kwa mara viongozi wa serikali ya Zanzibar wamekuwa wakipinga makampuni ya pombe kudhamini michezo Zanzibar pamoja na kilio cha vyama vya michezo vya huko kuishawawishi serikali yao bila mafanikio.
Na hivi sasa kumekuwa na wimbi la uchomaji bar huko visiwani kisingizio cha imani ya dini, lakin cha kushangaza mwishoni mwa wiki Makamu wa pili wa rais mh. Balozi Seif Idd alipokea milion 10 kutoka TBL kama msaada kwa wahanga wa ajali ya meli.
Kama kweli serikali inapinga pombe wangegomea pesa hizo chafu za wauza pombe ambayo ni haramu au ni ndio baniani mbaya kiatu chake dawa.
Hapo kwenye bolded!
kwani serikali hiyo imeundwa nani...viongozi hao si wanzibar....mbona wananchi wa kawaida hawajapinga ....wapinge basi basi hadharani kama wanavyochoma bar....Siyo wazanzibar waliopokea ni serikali
Wazanzibar hawana muda na TBL kwa imani zao..
The heading is misleading

Mara kwa mara viongozi wa serikali ya Zanzibar wamekuwa wakipinga makampuni ya pombe kudhamini michezo Zanzibar pamoja na kilio cha vyama vya michezo vya huko kuishawawishi serikali yao bila mafanikio.

Na hivi sasa kumekuwa na wimbi la uchomaji bar huko visiwani kisingizio cha imani ya dini, lakin cha kushangaza mwishoni mwa wiki Makamu wa pili wa rais mh. Balozi Seif Idd alipokea milion 10 kutoka TBL kama msaada kwa wahanga wa ajali ya meli.

Kama kweli serikali inapinga pombe wangegomea pesa hizo chafu za wauza pombe ambayo ni haramu au ni ndio baniani mbaya kiatu chake dawa.

Kigeu geu mwingineSiyo wazanzibar waliopokea ni serikali
Wazanzibar hawana muda na TBL kwa imani zao..
The heading is misleading

uislam kwenye dharura huachukua mambo kwa udharura wake