Wanywa bia wana furaha zaidi duniani!!

Nimesoma makala moja inaripoti kwamba watu wanaotumia bia na vilevi wana furaha zaidi.Na wanajua kutafuta pesa Sana.Je kuna ukweli?
ukiona mtu anakunywa bia , huwa tunamuona anapesa maana kunywa bia hadi ulewe ni 2hrs+
Ila wahuni tunapiga spirit (Vladimir + kvant + nyagi) ndiyo tuna furaha
 
Nimesoma makala moja inaripoti kwamba watu wanaotumia bia na vilevi wana furaha zaidi na wanajua kutafuta pesa Sana.

Je kuna ukweli?
FB_IMG_1572877551958.jpg
 
Nyie leweni tu kwa kisingizio cha kuondoa stress, kileweo kikimaliza kichwani deni unalodaiwa liko palepale, tena mda mwengine ukilewa ndio unawaza na kuanza kujilaumu zaidi kwa matokeo yaliokukuta
 
Back
Top Bottom