HMJ
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 157
- 21
Habari zenu wakuu.....
Laptop yangu inanizingua kwenye upande wa network nimeweka modem imeconect vzr ila nikiingia kwenye Internet naambiwa no Internet connection tatizo litakua wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app