Nani kawaroga wanyamwezi?
Blunder wanazofanya wanyamwezi ni za dhahiri mno ni kama vile wamekata tama ya maisha wanangoja wafe tu, uwezo wa kufikiri umeisha kabisa sasa wanafikiria kwa kutumia magoti ndiyo hiyo inapelekea wanafanya grave mistakes.
Grave mistake ya kwanza
Haiyamkiniki kabisa kumchagua Aden Rage kuwa eti mbunge wa Tabora mjini centre ya wanyamwezi, Aden Rage ni msomali,matatizo ya wanyamwezi anayajua mnyamwezi mwenyewe bila kuelezwa na mtu, matatizo ya wasomali anayajua msomali mwenyewe bila kuelezwa na mtu, hapa msije mkaniletea suala la ubaguzi,ni kwamba kila kazi ina qualification,Rage hana qualification za kuwa mbunge wa kabila tukufu kabisa la wanyamwezi wa utemi wa unyanyembwe, ila kama Tabora mtahitaji mtu wa utapeli tapeli, na brabra, na uswahili mwingi na maneno maneno basi Rage ndiyo anafaa. Mnyamwezi mmelinajisi bunge letu kwa kumpitisha huyo kuwa mbunge, ni haki bunge la sasa kuwa halina heshima shauri ya hizo njaa zenu mwanyamwezi.
Grave mistake ya pili.
Ni eti kumtambikia Lowassa kwenye kaburi la Mtemi shujaa Issike Mwanakiyungi,Lowassa hasitahili kabisa heshima kama hiyo yeye siyo rais ,wala waziri mkuu, uwaziri mkuu alijihuhuzuru tena alijihuhuzuru siyo kwa uzuri kwa kashifa nzito, leo eti mnampeleka mtu kama huyo akalinajisi kaburi la shujaa kama Yule kwa lipi alilofanya? ni uvivu wa kufikiri kabisa, kama ni njaa basi mje kwetu Dodoma kuna chakula cha kutosha tuwagawieni kuliko kufanya vitu vya aibu nama hii.
Enyi wanyamwezi msiendekeze njaa zenu, njaa mbaya, njaa ndiyo kuwa inamfanya mtu aazirike haraka sana, njaa zenu zutawauwa.
sina hamu na hawa viumbe....mi napita hu hapa
Nani kawaroga wanyamwezi?
kama ni njaa basi mje kwetu Dodoma kuna chakula cha kutosha tuwagawieni kuliko kufanya vitu vya aibu nama hii.
Enyi wanyamwezi msiendekeze njaa zenu, njaa mbaya, njaa ndiyo kuwa inamfanya mtu aazirike haraka sana, njaa zenu zutawauwa.
sina hamu na hawa viumbe....mi napita hu hapa
Mtani leo umetuamkia vibaya,, ila kwa kweli kuna points nyingi katika uzi wako,, tatizo letu kubwa wanyamwezi ni njaa kama ulivyosema, kwanza huu utaratibu wa kuwasimika utemi watu wasio wanyamwezi umeanza lini?? kama si njaa tu,, tabora imepoteza heshima yake,, wale mashujaa wetu waliheshimika na dunia njima na taifa letu leo tumewageuza, wengine watakuponda subiri uone,,,,, maana wanyamwezi wana msemo KUYANGULA MSABHI ALAKUWILA SABHA NANHO!!Nani kawaroga wanyamwezi?
Blunder wanazofanya wanyamwezi ni za dhahiri mno ni kama vile wamekata tama ya maisha wanangoja wafe tu, uwezo wa kufikiri umeisha kabisa sasa wanafikiria kwa kutumia magoti ndiyo hiyo inapelekea wanafanya grave mistakes.
Grave mistake ya kwanza
Haiyamkiniki kabisa kumchagua Aden Rage kuwa eti mbunge wa Tabora mjini centre ya wanyamwezi, Aden Rage ni msomali,matatizo ya wanyamwezi anayajua mnyamwezi mwenyewe bila kuelezwa na mtu, matatizo ya wasomali anayajua msomali mwenyewe bila kuelezwa na mtu, hapa msije mkaniletea suala la ubaguzi,ni kwamba kila kazi ina qualification,Rage hana qualification za kuwa mbunge wa kabila tukufu kabisa la wanyamwezi wa utemi wa unyanyembwe, ila kama Tabora mtahitaji mtu wa utapeli tapeli, na brabra, na uswahili mwingi na maneno maneno basi Rage ndiyo anafaa. Mnyamwezi mmelinajisi bunge letu kwa kumpitisha huyo kuwa mbunge, ni haki bunge la sasa kuwa halina heshima shauri ya hizo njaa zenu mwanyamwezi.
Grave mistake ya pili.
Ni eti kumtambikia Lowassa kwenye kaburi la Mtemi shujaa Issike Mwanakiyungi,Lowassa hasitahili kabisa heshima kama hiyo yeye siyo rais ,wala waziri mkuu, uwaziri mkuu alijihuhuzuru tena alijihuhuzuru siyo kwa uzuri kwa kashifa nzito, leo eti mnampeleka mtu kama huyo akalinajisi kaburi la shujaa kama Yule kwa lipi alilofanya? ni uvivu wa kufikiri kabisa, kama ni njaa basi mje kwetu Dodoma kuna chakula cha kutosha tuwagawieni kuliko kufanya vitu vya aibu nama hii.
Enyi wanyamwezi msiendekeze njaa zenu, njaa mbaya, njaa ndiyo kuwa inamfanya mtu aazirike haraka sana, njaa zenu zutawauwa.
basi basi yamekwisha baba,msamehe bureeee alitaka tu kuwapa changamoto teh teh tehTangu lini DOdoma mkawa na chakula cha kutosha bhana, wacha majigambo mkuu!! Kama ni mistake wameshafanya ila acha kuwaambia wana njaa...waje Dodoma muwalishe Ubuyu Jangwani huko? We kama upo Mjini wanywa mvinyo sawa, nenda Mpwapwa huko uone maisha ya wenzako yalivyo magumu...kule kuna watu maisha yao yanategemea mapito ya treni,ili wauze ubuyu...gogo likizingua tu...majibu unayo!! Jiheshimu bhana!!
kama hiyo ya Rage na Lowassa ni laana nadhani tutalaaniwa zaidi nchi tukiwapa WACHAGA. HAWA NI LAANA NA BALAA KULIKO HAO ULIOWATAJA. MUNGU IBARIKI TZ TUEPESHE NA CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO (CHADEMA)
Mtani leo umetuamkia vibaya,, ila kwa kweli kuna points nyingi katika uzi wako,, tatizo letu kubwa wanyamwezi ni njaa kama ulivyosema, kwanza huu utaratibu wa kuwasimika utemi watu wasio wanyamwezi umeanza lini?? kama si njaa tu,, tabora imepoteza heshima yake,, wale mashujaa wetu waliheshimika na dunia njima na taifa letu leo tumewageuza, wengine watakuponda subiri uone,,,,, maana wanyamwezi wana msemo KUYANGULA MSABHI ALAKUWILA SABHA NANHO!!