Wanyakusa kiboko

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,916
Reaction score
3,747
Jamen wadau ogopen sana wake za watu ni sawasawa na kuchezea moto ukidhan hautakuchoma.
Jamaa mmoja hapa kitaa saiv anaokota makopo na kujichekelea.jamaa alidoea vya mnyakusa saiv kashapata doz yake.
Nimemuona nikamhurumia sana ila sifa yake nimeipata.mwamba alikuwa anachovya vya mnyakusa. sio poa mke wa mtu sumu.tutafute vya kwetu tusipende vya bure.
 
Hii umetupiga ungesema wamasai wale usije thubutu kumlia mkewe na akajua kabisa umepita pale hakuna mganga an weza kukugangua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…