Wanajamii poleni na majukumu,nipo hapa Dar es Salaam hila natokea Mkoani Kagera ambako kuna wakulima wa Vanilla wengi mno na Zao hilo limekosa soko,wanakijiji wenzangu wamenituma niwatafutie wanunuzi huku hila hapa Dar nikaambiwa hawapo mpaka huko Zanzibar,hivyo nauliza mwenye kuwajua hao wanunuzi aniunganishe nao kusudi wakulima Mwakani wawe na soko la uhakika.
Sent from my TECNO B1g using
JamiiForums mobile app