Wanunuzi wa Mbaazi wa AZAM

Wanunuzi wa Mbaazi wa AZAM

yousaw

Senior Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
160
Reaction score
128
Wana Jf nauza mbaaz kuna mtu aliniambia kuwa AZAM wananunua kwa bei nzuri ila kwa sasa hawapo Dar wako mashambani na me sina mawasiliano yao hvyo naomba msaada kwa yeyote mwenye mawasiliano yao aniwekee hapa.
AHSANTE.
 
wewe unayeuza mbaazi upo wapi? Na mbaazi yenyewe ipo wap?
 
Hiyo mbaazi ya season iliyopita nn? But nicheki inbox tuyajenge 0716300776
 
Tuna shirika lina wakulima wengi wa mbaazi, kuna mnunuzi yeyote anahitaji tumzalishie kwa mkataba kiasi chochote anachohitaji?? Tuwasiliane kupitia bufadeso@gmail.com
 
Kwa mahitaji ya MBAAZI na NJEGERE, kiasi kikubwa na kidogo wasiliana na CHEETER AGRICULTURAL COMPANY kwa no zifuatazo:
-0656 121218 na
-0626 697824 pia Whatsapp AU
Email; yusuphmlawa91@gmail.com.
"KARIBUNI"
 
Ndugu wafanyabiashara kubwa na ndogondogo tunayofuraha kuwataarifu kuwa ule msimu wa mavuno na mauzo umewadia mashambani kwetu Morogoro hivyo tunapenda kuwakaribisha wote!
 
WASILIANA NASI KWA SIMU NO:
- 0654 121218 NA
- 0626 697824

KARIBUNI.
 
Tunapenda kuwataarifu wafanyabiashara wakubwa na wadogowadogo kuwa ule msimu wa mavuno na mauzo umewadia mashambani kwetu Morogoro hivyo tunapenda kuwakaribisha wote! Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo:
- 0654 121218 na
- 0626 697824
"KARIBUNI"
 
Ndugu wafanyabiashara kubwa na ndogondogo tunayofuraha kuwataarifu kuwa ule msimu wa mavuno na mauzo umewadia mashambani kwetu Morogoro hivyo tunapenda kuwakaribisha wote!
Unapatikans wapi?mbaazi unauzaje kwa kg?
 
Ndugu wafanyabiashara kubwa na ndogondogo tunayofuraha kuwataarifu kuwa ule msimu wa mavuno na mauzo umewadia mashambani kwetu Morogoro hivyo tunapenda kuwakaribisha wote!
Asante sana
 
Back
Top Bottom