Wanunuzi wa jumla soko la samaki

Apr 18, 2017
81
51
Habari za leo Wana JF!

Niko katika harakati za kuanza biashara ya samaki wa kukaanga kutoka bwawa la Nyumba ya Mungu (Moshi, Kilimanjaro). Na kama ambavyo title inasema, ninatafuta wanunuzi wa jumla wa samaki hizi (Perege & Kambale)
Masoko ninayoyatarajia ni Dar es Salaam, Arusha, Tanga pamoja na Mwanza (Kama una option ya mkoa tofauti usijali kuuliza)

Samaki ni wazuri, wana ukubwa wa kutosha, na wanavuliwa kwa namna halali pia. Kama upo serious, karibu tuzungumze biashara.

Tuwasiliane hapa: +255676095799 | +255766068456, alexhamistz@yahoo.com

Asanteni!


1083927
1083931
 
Back
Top Bottom