moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,928
Habarini wakuu.
Wale wote tuliobahatika kupata mkopo batch ya nane wa Vyuo vyote tukutane hapa tujue tunafanyeje maana mwezi wa pili huu bado hatujafanikiwa kupewa stahiki zetu.
Mawaziri wetu Wa mikopo wanasema bodi walikua wanafanya "verification" na baada ya hapo tutatumiwa.
Kama mwingine Ana info zozote za kinachoendea bodi tufahamishane