sijadanganya mtu,google thin client terminal uone jibu utakalopata,mimi nazijua kwa jina la thin client terminals,iyo nyingine ndo nasikia kwako,sina uhakika kama ni kifaa hichohicho ila nadhani umeelewa ni nini natafuta.nahitaji 4.nitaongeza zingine baadae.