mi niambie inafanya kazi gani?View attachment 89796
View attachment 89797
Je hii device kwa Dar es salaam nitapata duka gani.
Na je ni tsh ngapi?. Msaada Tafadhali nahitaji kwa haraka.
inatumia simcard au ni wifi?au hivyo vitabu unavisave vipi huko kwa kiddle...Kusomea vitabu, "ebooks" . Ni nzuli kwa wadau "addicted" na usomaji wa vitabu mahala popote.
inatumia simcard au ni wifi?au hivyo vitabu unavisave vipi huko kwa kiddle...
mimi ninayo shop naiuza laki 2. naku pm