Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,310
- 4,206
CC Mbaga JrTukio hilo lilitokea Novemba 11, 2024 eneo la Kiluvya Madukani, Wilaya ya Kinondoni, ambapo inadaiwa washtakiwa walipanga kumteka Tarimo wakitumia mtego uliopangwa na Anitha Temba, aliyemshawishi mfanyabiashara huyo wakutane kwenye hoteli kwa mazungumzo ya biashara.